Mjue shetani alivyo

Ahsante kwa somo zuri mkuu.
Japokuwa watu hawapendi kusikia au kuambiwa habari kama hizi.
 
Habari wadau,

Leo napenda tujadili namna huyu shetani alivyo. Kwa namna mimi ninavyomfahamu Shetani yuko katika nafsi tatu chafu yaani kama alivyo MUNGU MWENYEZI ambaye ni nafsi tatu takatifu ndiye muweza wa yote.


VIZURI SANA sasa tutajie na Tudadavulie hizo NAFSI TATU ZA MUNGU MWENYEZI
kama ulivyifanya kwa shetani nazo tuzijue
 
VIZURI SANA sasa tutajie na Tudadavulie hizo NAFSI TATU ZA MUNGU MWENYEZI
kama ulivyifanya kwa shetani nazo tuzijue
Hii ni mada inayojitegemea nitafafanua siku nyingine
 
Mungu au Shetani, anatofautiana sana kati ya mtu mmoja na mwingine. Hata ukienda kanisani ungeshangaa kuona kile anschokiwaza muumini anaposali jinsi anavyoumba Mungu alivyo na nna uhakika hii haifanani kati ya mtu mmoja na mwingine.

mshana jr pita huku ushushe darasa
 
Haya maelezo ni ya unavodhani wewe au Kuna Mahala umeyapata,
Aisee acha kuongopa
Lucifer ndo shetani,
Soma biblia
 
Haya maelezo ni ya unavodhani wewe au Kuna Mahala umeyapata,
Aisee acha kuongopa
Lucifer ndo shetani,
Soma biblia
Mkuu ww ndo hujasoma vizuri kuna sehemu kwenye biblia imeandikwa joka la zamani aitwaye ibilisi na shetani..hapo unasemaje?
 
Mtoa Mada weka Fact..hizi habari imezipata kwenye kitabu gani?hapo mwanzo Ibilisi alikuwa nani?nn kilimfanya akaletwa duniani?vipi kuhusu Dajjal?kuwa makini...
 
Tunamjenga shetani kama dubwana linalotisha sana lakini tukumbuke once shetani alikuwa malaika mkuu
Satan is the most beautiful creature....
 
Tunamjenga shetani kama dubwana linalotisha sana lakini tukumbuke once shetani alikuwa malaika mkuu
Satan is the most beautiful creature....


Na alikokota theluthi ya malaika, kumbuka hao ni malaika waliokua hukohuko makao makuu. Ndio maana Mungu anatusamehe tulioko duniani
 
Baalzebul

Mkuu umenikumbusha mapindi ya Divinity enzi niko Seminary, dah siku hizi napiga balimi mpaka zinaniogopa zikiwa kaunta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…