Nadhani hujaelezea why ikawaje akaitwa hivyo. Kwanza kabisa ilitokea middle ages, ni mwanamke alie elimika sana kiasi kwamba aliweza ku ji disguise as a man, na akapanda chat kama padri mpaka nafasi hiyo.
Ilikuwaje akagundulika kuwa ni mwanamke, ni baada ya kujifungua during papal procession
na story hii ni 16th century.