Mjue Pepo Mchafu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,939
Reaction score
168,375
Huyu ndiye Pepo mama wa matatizo yote.
Matatizo ya magonjwa, kiuchumi, kifedha, kimahusiano Na kadhalika huratibiwa Na Pepo huyu mchafu.
Akikuingia Pepo huyu, atamkaribisha Pepo wa ngono.
Pepo wa ngono atakutumikisha kufanya ngono hovyo Na kukupelekea kufilisika Na kukumbwa na mikosi Na mabalaa mbalimbali.

Pepo wa ngono

Pia Pepo mchafu atamkaribisha Pepo wa ufukara.
Huyu atahakikisha hufanikiwi kiuchumi, Kila biashara utakayofanya hata ukijipa faida kubwa kiasi gani, hautofaidika Na kipato hicho.
Utaandamwa Na madeni Na Pepo huyu Huwa ana msaidizi wake ambaye anaitwa chuma ulete.
 
Hizo ni imani tu. Ukiamini hivyo basi ndivyo itakua. Ahsante kwa uzi tuache tule vitu.
 
wacha mimi niwe mfuasi wa maneno yako ....[HASHTAG]#kwa[/HASHTAG] msaada wa yesu tutashinda.
 
Daaah hii awamu ya tano tutasikia vingi Sana maana haya Marsha yanawafanya watu wafikiri mbali.jaman no Hali tu yakiuchumi tuvumilie tu
 
Mie naomba kumjua pepo msafi.

 
Kwanini haogi naye?!, kwa uchafu huo hata kazi yake inamuwia ngumu nadhani.
 
Mkuu
Siasa ya wanaonunua watu je iko upande UPI!?

Btw, naunga hoja mkono
Ila nilitubu,,, Yesu Kristo ananilinda na kuniepusha na tamaa na tabia hizo chafu.
 
Mkuu
Siasa ya wanaonunua watu je iko upande UPI!?

Btw, naunga hoja mkono
Ila nilitubu,,, Yesu Kristo ananilinda na kuniepusha na tamaa na tabia hizo chafu.
Hila zote zatoka kwa Yule muovu chini ya uratibu wa Pepo mchafu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…