mjue mwanaume anayekupenda

mjue mwanaume anayekupenda

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
Hey JF members!

Kuna ishara zozote ambazo zinaonesha mwanaume anampenda mwanamke?

Naomba kuwasilisha!
 
Hamna sifa maalum useme ni lazima hvi. Inatokea automaticaly. Ulivyopendwa na hamadi sivyo utakavyopendwa na Alexander
 
Lazima ujue kwanza nin maana ya upendo.
Mtu anayekupenda atajitoa kwa ajil yako ila hapa lazima uwe mwangalifu na utumie jicho la tatu uangalie anajitoa kwel au anaigiza.Anaongelea sana future,anakuongoza kwenye mema zaid..Kuna muda anakuwa kama kaka,rafik,mpenz pia ndugu huyu anakupenda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mambo 5 muhimu ya kumuonyesha mwanamke wako kwamba unampenda kwa dhati.
1.Mpe hela. 2.Mpe hela Mpe hela. 3.We mpe hela. 4.Nakwambia mpe hela. 5.Nasema mpe hela we mpe hakiamungu vile mpe hela tu
 
Ishara ni lugha ya kuzungumza kwa kutuma viungo vya mwili. utamjua kwa kuwa atakuwa akikukonyeza konyeza.
 
Mambo 5 muhimu ya kumuonyesha mwanamke wako kwamba unampenda kwa dhati.
1.Mpe hela. 2.Mpe hela Mpe hela. 3.We mpe hela. 4.Nakwambia mpe hela. 5.Nasema mpe hela we mpe hakiamungu vile mpe hela tu

Hahaaa...hii kali!!!
 
Mambo 5 muhimu ya kumuonyesha mwanamke wako kwamba unampenda kwa dhati.
1.Mpe hela. 2.Mpe hela Mpe hela. 3.We mpe hela. 4.Nakwambia mpe hela. 5.Nasema mpe hela we mpe hakiamungu vile mpe hela tu
kama hanipi hela?
 
hahahaaaa! Hii kali
 
Lol.
Umeua! What if naye anazo hela zake za kutosha?

Back
Top Bottom