Mjue Mungu wa Freemasonry

Umesoma lakini,maana hao jamaa wamenuelezea Yesu vizuri mnoo
 
Hujaelewa
Yesu alikuwa anawaambia waliokuwa mbele yake wakati wa hayo mafundisho yake kuwa wapo waliokuwa pale hawatakufa mpaka atakaporudi..je hadi leo hawajafa?
We ndio hujaelewa haya yaliandikwa kutufunza ambao hatukuwepo enzi hizo
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1 Kor 10:11

Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.
 
Acha upuuzi basi
Sasa ndo umeandika nini hapo!!!
Nipe mstari kwenye biblia unaosema hiyo aya niliyokupa inasema inatufunza ambao hatukuwepo...
 
Hebu nikwambie wewe hujui chochote kuhusu biblia na quran kwenye hili jukwaa
Tafuta machspisho yangu ya kale humu utajua jinsi ya kunijibu na sio ushubwada kama huu
 

Aisee hizi nondo ni balaa
 

Mkuu upo vizur@LIKUD
 
Adam (nyama) vazi la nuru, aliharibiwa na kupunguzwa uwezo wa kimaarifa kwa roho yake kugawanywa hasi na chanya katika maumbile ya uke na uume, na kuweka ugumu wa toleo hilo kujitambua, kabla ya hapo wanadamu walikuwa na uke na uume katika umbo moja la damu.

Utashi mkubwa na kufikia kushabiiana na roho tegemezi kutoka falme za miungu wengine na kuleta maumbo tofauti na aina ya kipekee ya udamu mwingine, ra(Ialdabaoth) aliogopa sana kuwa anaweza fanyiwa mapinduzi maana wadamu waliotokea walimtisha sana, akawateketeza wote kwa hofu, hivyo akafanya upya wa muundo wake wa damu akaugawa akautawanya mashariki kwa magharibi, isis(sophia) mamaye na ra(Ialdabaoth) akaona huruma kwenye nuru yake isipotee iliyo ndani ya damu akatoka kwa sili mpka mashariki akaivuta nuru chanya na magharibi nuru hasi ...

NIMEISHIA HAPO
 
likud jamaa angu unanikoroga sana...! satanism

wanatumia biblia hiyo hiyo.....

kucrash
 
kuna mada tatu nimeshasoma hapa JF kama hauko nazo makini unakua very confused...hii ni ya tatu...ya kwanz ni ile ya fatima,ya pili kuna jamaa mmoja alitoa habati ya makundi ya miungu iko very very convicing...ya tatu ndo hii ,haijakaa sawa sana ila..

Mimi na familia yangu...tutamtukuza bwana MUNGU..JEHOVA AU YHWY Na mtoto wake wa pekee YESU KRISTO....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…