Mjue Mungu wa Freemasonry

Kama physical world bado hatujaweza kuufahamu ata robo yake? Vipi kuusu spiritual world. uzuri matango pori huwa hayashibishi, kuna mda ata biblia.... Na ma kuruani... Huwa napata ukakasi kuamini.
 
 
Hadithi hii Ni nzuri kidogo maana inatoa changamoto haswa wenye kuamini.
Imani bila changamoto za namna hii haijawa komavu. So Mimi binafsi nimeipokea mada hii bila shida.

Ila inaonekana mwendelezo wake haupo labda kwa sababu mleta mada hakuwa na maandalizi mazuri ama hana namna ya kuendelea, au Kuna member wa Freemason ammchimba biti asiendelee.

Nilikua nangojea kweli habari za Mariam mama wa Yesu, maana vile anavyoheshimiwa pale Catholic ni zaidi ya heshima kulingana na daraja lake, labda Kuna kitu wakatoliki wanakijua kuhusu huyu mama zaidi tujuavyo!
 
Nice kuna ukweli flani hivi
 
Mkuu kwenye nondo kali kama hizi, usiache kunitag! Moja ya nondo kali sana. Subiri nitulie sehemu niitafakari nitakuja na maswali. Hii dunia ina siri sana!!!
 
Nope ana part zote mbili ya mwanamke na mwanaume. Ya mwanamke inajulikana Kama Sophia na ya mwanaume ni Aeon.
Kwa hiyo mkuu, muunganiko wa Sophia na Aeon ndio anapatikana Mungu mkuu? Je sisi binadamu tukifa roho zetu zitaenda wapi? Kwa Sophia au kwa IALDABAOTH? na je kama roho zote zitaenda kwa Sophia, mwisho wa siku huyu IALDA atabakiwa na ufalme upi? Kama Mungu Sophia ni mwingi wa huruma hivi, ina maana hakuna cha siku ya kiama au? Maana IALDA akitaka kufanya hivyo Sophia atamzuia!

Hii imenifikirisha sana maana nshawahi sana kujiuliza huyu Mungu aliemuumba Adam nae alitoka wapi?
 
[emoji16][emoji16][emoji16] wala sina haraka ya ku coment. Ni kwamba kilichoandikwa hapo juu mbali na kujifunza ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Imagine akili zetu zilivyojazwa imani za kikristu na kiislam afu uje uwaambie hivyo. Watakupuuza tu.
Huo ni upuuzi mkuu hata mm nimeishia njiani siwezi kuujaza ubongo wangu matakataka kutoka kuzimu
 
Freemasonry hawajaeleza kuhusu asili ya Mungu duality sophia na mwenzie walitoka wapi? na upande wa Lucipher haujazungumzwa yupo kama Observer.
 
Freemasonry hawajaeleza kuhusu asili ya Mungu duality sophia na mwenzie walitoka wapi? na upande wa Lucipher haujazungumzwa yupo kama Observer.
Hicho ni kigezo tosha kuwa jamaa ni waongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…