Mwana Mwema
Senior Member
- Nov 15, 2012
- 144
- 133
Akataa Zawadi ya Tsh. Bilioni 1.3
Genius wa hisabati, Dr Grigory PerelmanWednesday, March 24, 2010 1:01 AM
Mwanaume wa nchini Urusi ambaye anaishi maisha ya kifukara katika nyumba yake iliyojaa mende kibao, amekataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa baada ya kulipatia jibu fumbo la hesabu lililowashinda wataalamu wa mahesabu kwa miaka 100.
"Nimetosheka na kile nilicho nacho", alisema Dr Grigory Perelman, 44, mwanaume anayesemekana kuwa yeye ndiye Genius wa hisabati kwani yeye ndiye mtu pekee aliyefanikiwa kulifumbua fumbo la hisabati linaloitwa "Poincare Conjecture" ambalo wanahisabati wote duniani kwa kushirikiana walishindwa kulifumbua fumbo hilo lenye miaka 100.
Dr Grigory Perelman anaishi mjini Petersburg katika nyumba yake ambayo imejaa mende wengi sana kiasi cha majirani zake kutoa malalamiko kuwa mende hawaishi kuingia kwenye nyumba zao toka kwenye nyumba ya mtaalamu huyo wa hisabati.
Dr. Perelman nyumbani kwake ana meza moja, stuli moja na kitanda chenye godoro chafu lililochakaa lililoachwa na wamiliki wa nyumba hiyo ambao walikuwa walevi kupindukia ambao ndio waliomuuzia Dr.Perelman nyumba hiyo.
Pamoja na maisha anayoishi, Dr. Perelman ameikataa zawadi ya dola milioni moja aliyopewa na taasisi ya hisabati ya Marekani akisema kuwa hana shida ya pesa ametosheka na alichonacho.
Miaka minne iliyopita, Dr. Perelman alikataa kwenda kuichukua tuzo maalumu aliyotunukiwa na umoja wa kimataifa wa wanahisabati kwa kulipatia jibu swali hilo gumu la hisabati.
Wakati huo Dr. Perelman alisema "Sina shida ya pesa wala umaarufu, sitaki nionyeshwe kwa watu kama vile wanyama kwenye bustani za wanyama".
"Mimi sio shujaa wa hisabati, sijafanikiwa kwa kiasi hicho ninachoongelewa, na hivyo sitaki watu wote wawe wananiangalia mimi", alisema Dr. Perelman.
Ilikuwa ni mwaka 2002 wakati Dr. Perelman alipokuwa akifanya kazi kwenye taasisi ya utafiti wa hisabati nchini Urusi wakati alipoanza kutuma majibu kwenye internet ya fumbo la Poincare Conjecture ambalo ni miongoni mwa mafumbo saba magumu ambayo kila fumbo moja limetengewa zawadi ya dola milioni moja kwa mtu atakayelipatia jibu.
Kupatikana kwa jibu la fumbo la Poincare Conjecture kutawawezesha wanasayansi kuweza kujua umbile la ulimwengu.
Mwaka 2003 Dr. Perelman aliacha kazi kwenye taasisi hiyo ya utafiti wa hisabati na inadaiwa na marafiki zake kuwa ameachana kabisa na masuala ya hisabati.
dunia ipi unazungumzia?mbona mi sijaliona hilo fumbo??labda ningelifumbuaAkataa Zawadi ya Tsh. Bilioni 1.3

Ma-'dr' wa Tz na wengine wote watakua wamekusikia, wasije kusema ooh wazungu wabaguzi na wanajipendelea/
Jamaa huyo hapo na kwa wale wenzangu wanaolitaka hilo fumbo ili labda waweze kulifumbua from another approach fumbo lenyewe hili hapa:
Poincaré's question
At the beginning of the 20th century, Henri Poincaré was working on the foundations of topologywhat would later be called combinatorial topology and then algebraic topology. He was particularly interested in what topological properties characterized a sphere.
Poincaré claimed in 1900 that homology, a tool he had devised based on prior work by Enrico Betti, was sufficient to tell if a 3-manifold was a 3-sphere. However, in a 1904 paper he described a counterexample to this claim, a space now called the Poincaré homology sphere. The Poincaré sphere was the first example of a homology sphere, a manifold that had the same homology as a sphere, of which many others have since been constructed. To establish that the Poincaré sphere was different from the 3-sphere, Poincaré introduced a new topological invariant, the fundamental group, and showed that the Poincaré sphere had a fundamental group of order 120, while the 3-sphere had a trivial fundamental group. In this way he was able to conclude that these two spaces were, indeed, different.
In the same paper, Poincaré wondered whether a 3-manifold with the homology of a 3-sphere and also trivial fundamental group had to be a 3-sphere. Poincaré's new conditioni.e., "trivial fundamental group"can be restated as "every loop can be shrunk to a point."
The original phrasing was as follows:
Consider a compact 3-dimensional manifold V without boundary. Is it possible that the fundamental group of V could be trivial, even though V is not homeomorphic to the 3-dimensional sphere?Kwa wale ambao mnalalmika hamjaletewa haya maswali do not dispair kuna haya hapa chini bado: Yanaitwa
Millennium Prize Problems
Contents
- 1 P versus NP
- 2 The Hodge conjecture
- 3 The Poincaré conjecture (proven)
- 4 The Riemann hypothesis
- 5 YangMills existence and mass gap
- 6 NavierStokes existence and smoothness
- 7 The Birch and Swinnerton-Dyer conjecture
Atakaeshinda asinisahau hata ka 5% tu ka prize money.
Mtoto akililia wembe mpe. Naona wale waliokuwa wanadai fumbo liko wapi wamekaa kimya na wanadhani hili siyo fumbo la hisabati..!
Jamaa huyo hapo na kwa wale wenzangu wanaolitaka hilo fumbo ili labda waweze kulifumbua from another approach fumbo lenyewe hili hapa:
Poincaré's question
At the beginning of the 20th century, Henri Poincaré was working on the foundations of topology-what would later be called combinatorial topology and then algebraic topology. He was particularly interested in what topological properties characterized a sphere.
Poincaré claimed in 1900 that homology, a tool he had devised based on prior work by Enrico Betti, was sufficient to tell if a 3-manifold was a 3-sphere. However, in a 1904 paper he described a counterexample to this claim, a space now called the Poincaré homology sphere. The Poincaré sphere was the first example of a homology sphere, a manifold that had the same homology as a sphere, of which many others have since been constructed. To establish that the Poincaré sphere was different from the 3-sphere, Poincaré introduced a new topological invariant, the fundamental group, and showed that the Poincaré sphere had a fundamental group of order 120, while the 3-sphere had a trivial fundamental group. In this way he was able to conclude that these two spaces were, indeed, different.
In the same paper, Poincaré wondered whether a 3-manifold with the homology of a 3-sphere and also trivial fundamental group had to be a 3-sphere. Poincaré's new condition-i.e., "trivial fundamental group"-can be restated as "every loop can be shrunk to a point."
The original phrasing was as follows:
Consider a compact 3-dimensional manifold V without boundary. Is it possible that the fundamental group of V could be trivial, even though V is not homeomorphic to the 3-dimensional sphere?Kwa wale ambao mnalalmika hamjaletewa haya maswali do not dispair kuna haya hapa chini bado: Yanaitwa
Millennium Prize Problems
Contents
- 1 P versus NP
- 2 The Hodge conjecture
- 3 The Poincaré conjecture (proven)
- 4 The Riemann hypothesis
- 5 Yang–Mills existence and mass gap
- 6 Navier–Stokes existence and smoothness