PROFESSOR JOACHIM
Member
- Oct 11, 2015
- 49
- 35
USIPOKUBALI HASARA ZA FAIDA, HUWEZI KUPATA FAIDA.
Naam kila faida huanza na hasara (KUPOTEZA) na kila hasara huanza na faida (KUPATA) ndio maana watu hujuta na kusema "NILIDHANI NIMEPATA KUMBE! NIMEPATIKANA".
WATU HUPENDA KUSIKIA WANAYOTAKA (YANAYOWAPA RAHA, bila kujali ni sawa au si sawa), HUCHUKIA KUSIKIA WANAYAPASWA KUSIKIA (UKWELI kwasababu unawauma, wakati ungewaokoa kama wangeukubali).
Ukifungwa kwenye akili hatuhitaji tena kamba ili kukufunga usitoke mahali ulipo.
Kwanini nyoka anatembea wakati hana miguu?
Ukimuuliza hilo swali Mungu wangu atakujibu kwamba, "Nyoka nimemnyima miguu nikampa akili za kutembea ndio maana anatembea"
Naam hata uwe na miguu mingi kiasi gani kama HUNA AKILI ZA KUTEMBEA huwezi kutembea.
Naam hata upewe pesa nyingi kiasi gani KAMA HUNA AKILI ZA KITAJIRI, HUWEZI KUWA TAJIRI.
Hata uwe na sura nzuri kiasi gani kama huna akili huwezi kuwa MKE MWEMA KWA MUMEO. Naam hata uwe na pesa kiasi gani KAMA HUNA AKILI ZA MUME MWEMA, huwezi kuwa mume mwema kwa mkeo.
"If God gives you beauty without brain, PRIVATE PART SUFFER THE MOST" by Robert Mugabe.
Tafsiri: "Kama Mungu akikupa sura nzuri bila akili, KITAKACHOUMIA KULIKO VYOTE NI SEHEMU ZA SIRI" na Robert Mugabe. Na huu ndio ukweli, UKIWA HUNA AKILI UCHI WAKO UTATUMIKA KULIKO KIUNGO CHOCHOTE. Huku wenzake tukiumiza vichwa TUNAFIKIAJE NDOTO ZETU ZA KUWA MABILIONEA TUWAINUE WANYONGE, wewe utakuwa UNAUMIZA SEHEMU ZA SIRI ee uliyebarikiwa LAANA!!! PUMBAVUUU!!!
Huku wenzako tukiingia internet ili KUWAELEZA WATU WANAFANIKIWAJE DUNIANI NA PIA WATAFIKAJE MBINGUNI, wewe utatumia internet ili kujua staili za KUSUGUA/KUSUGULIWA kwa UCHI wako.....hongera pole ee ULIYEFANIKIWA KUFELI NA KUBARIKIWA LAANA, unaepata raha KARAHA!!!
Umewahi kujiuliza kwanini "njongoo ana miguu mingi kuliko viumbe vyote lakini anatembea polepole kuliko viumbe vyote?"
Kwanini nyoka asiyekuwa na miguu anamzidi mbio jongoo mwenye miguu mingi kuliko mnyama yeyete???
Jibu ni rahisi: Ni kwasababu NJOGOO HANA AKILI ZA KUTEMBEA KWA HARAKA KAMA WENGINE. Yeye anaamini HAWEZI kukimbia ndio maana akikutana na HATARI badala ya kukimbia kama wenzake yeye HUJIKUNJA, maana anaamini hawezi kukimbia. Tajiri wa miguu, maskini wa matumizi wa miguu.....BALAA KUBWA!!!
Ndivyo ulivyo wewe, sura nzuri sana kuliko wenzako, umbo zuri sana kuliko wenzako, nilifikiri ungekuwa mke mwema kwa mumeo na kumsaidia kufikia malengo yake. Lakini umetumia uzuri wako kuzitaabishwa NYETI ZAKO, na "mashine ya kila aina", ikija ndefu, twende kazi, ikija nene kama mkono wa mtoto, ruksa! Ikija nyeusi, hewalaa! Ikija nyeupe, USINIPITE! Wakiingiza kwenye tundu la KUJAMBIA, ok! Washindwe wenyewe!!! Du! Hongera pole kwa kupata faida ZENYE HASARA YA KUTOSHAAA!!!………Naam "mwanamke mwenye sura nzuri asiye na akili, NISAWA NA NYANI MWENYE SURA NZURI" By Prof. Joachim Mahanga.
Naam mwanamke asiye mrembo mwenye akili nzuri HUWA MREMBO KWA MUME WAKE.
Mtu mwenye sura mbaya mwenye akili nzuri atamzidi mtu mwenye sura nzuri mwenye akili mbaya.
Mtu asiyekuwa na pesa mwenye akili nzuri atamzidi utajiri mtu mwenye pesa ASIYE NA AKILI.
Siri ya mafanikio ni AKILI. Wengi mna ubongo lakini hamna akili. Kila mtu huzaliwa na ubongo lakini HAKUNA ANAYEZALIWA NA AKILI. Naam, kaka yangu mpendwa wangu Muheshimiwa Eliud Damas, utaniunga mkono.
Kila mtu anazaliwa na ubongo. Hakuna anayezaliwa na akili. Ubongo unashikika, lakini akili hazishikiki. Akili ni uwezo wa kufanya maauzi kulingana na unayojua. Ubongo hukaa kichwani lakini akili hukaa kwenye nafsi. Akili ni JUMLA YA UFAHAMU WAKO. Akili zinawezakuongezeka pia akili zinaweza kupungua. Akili ni jumla ya taarifa zote unazozifahamu juu yako na mazingira yanayokuzunguka.
AKILI NI SOFT WARE na ubongo ni HARD WARE. Kila unachoamini kuwa ni sawa na kukipokea ndani yako yaani UJUZI wa jambo fulani huwa AKILI, na utaamua kwa mujibu wa taarifa hizo.
Mfano. Kabla SIJAOKOKA, niliona sawa tu kuwa na girl friend, kwenda disco, kupigana, kusema uongo n.k yaani NILIFANYA SAWASAWA NA AKILI ZANGU, yaana taarifa nilizokuwa nafsini wangu zilisoma kua, "HAKUNA TATIZO UKIINGIA DISCO" hivyo niliingia disco na kucheza na wasichana.
Lakini nilipookoka, taarifa mpya zikaingia zinazo someka hivi "KUCHEZA DISCO NI DHAMBI", "MUNGU HAPENDI MIZIKI YA KIDUNIA", "MUNGU HAPENDI UWE NA GIRL FRIEND, UWE SINGLE MPAKA MUNGU ATAKAPOKUPATIA MKEO". Hizi taarifa hizi zikafuta Zile za kwanza, na sasa sifanyi maamuzi kwa mujibu wa taarifa (AKILI) za mwanzo kwani NAFSI (MIMI) nimebatilisha taarifa za zamani na kupokea TAARIFA (AKILI) MPYA.
Sasa ninaamua kwa mujibu wa TAARIFA MPYA, ndio maana japokuwa kabla sijaokoka, nilikwenda disco kila weekend, nikawa na ma_girl friend, nika-enjoy dhambi lakini tangu NIOKOKE huu ni mwaka wa 12 niko ndani ya Yesu, sijafunua chupi ya msichana yeyote na ninaona bora kukaa chooni miaka 3 kuliko kucheza disco kwa sekunde moja! Kilichonisaidia ni AKILI.
AKILI. ZINATOKA WAPI? KUMBUKA HATUZALIWI NA AKILI, maana akili ni TAARIFA ZINAZOINGIA NAFSINI(MOYONI)
ZINAZO RATIBU MAAMUZI YETU.
Mfano simu yako ina program/application. Una program/application ya FACEBOOK ndio maana unatumia facebook.
Smart phone. Ili upate kusoma biblia katika simu yako inabidi u-download application/program ya biblia. Ndio akili/taarifa, yaani applications/programs ni AKILI ZA SIMU. Ndio maana Mungu anaweza kukupa AKILI biblia inasema hivyo. Lakini hakuna hata sehemu moja biblia inasema Mungu atakupa UBONGO kwani KILA MTU UBONGO ANAO. LAKINI WENYE AKILI NI WACHACHE.
KAZI KUBWA YA UBONGO NI KUPOKEA TAARIFA kuziwasilisha kwa NAFSI kisha nafsi ukiona ni taarifa SAHIHI huzi hifadhi kwenye sehemu ya nafsi inaitwa MOYO ili zitumike KUFANYA MAAMUZI. Hivyo mwanzoni zilikuwa ni taarifa, huenda ziliandikwa kwenye magazeti, facebook, biblia, au zilisikika redioni, kwenye TV, kwa watu, kutoka kwa shetani na mapepo kupitia ndoto, mawazo au vyanzo tajwa hapo juu n.k ulipopokea taarifa hizo zilipokelewa na UBONGO, kisha ukazileta kwa NAFSI YAKO, kisha nafsi yako ikiziona hizo taarifa ni sahihi na zinafaa kukuongoza KATIKA MAAMUZI YAKO ndipo NAFASI ikaziweka moyoni hapo ndipo taarifa hizo hubadilika jina na kuitwa AKILI, ndizo zina ratibu maisha yako ya kila siku, nazo hukaa MOYONI. YAANI MOYO WAKO HUTUMIA AKILI HIZO KUKUONGOZA.
MOYO NDIO KIONGOZI WA MAISHA YAKO. ANGALIZO: MOYO HUU NAO ZUNGUMZIA SI ULE WA KUSUKUMA DAMU!!! ILE NI NYAMA TU TENA imeundwa na misuli/nyama zinazoitwa CARDIAC MUSCLES. Siku zote biblia inapozungumzia MOYO inamaanisha SEHEMU YA NAFSI YAKO INAYOFANYA MAAMUZI. Ukisikia mtu anaumwa ugonjwa wa moyo, huwezi kukuta anashindwa KUONGOZA MAISHA YAKE, kwani moyo unaoumwa ni "organ ya kusukuma damu". Ukisikia mtu anasema "Baba yangu amechinjwa mbele ya macho yangu!! MOYO WANGU UNANIUMA SANA, SITASAHAU HILITUKIO MPAKA NAKUFA", huyu mtu moyo anaomaanisha si ule wa NYAMA UNAUSUKUMA DAMU bali "sehemu ya NAFSI YAKE inayoongoza MAISHA YAKE YOTE".
TAMBUA KUA: AKILI NI MKUSANYIKO WA TAARIFA ZINAZOHIFADHIWA NDANI YA MOYO WAKO. Taarifa hizo unazipata katika vyanzo mbalimbali, kama nilivyotaja hapo juu, pia MOYO WAKO UNAWEZA KUZALISHA TAARIFA (AKILI) NYINGINE KUPITIA ZILE ZA KWANZA. Kumbuka "mwenye vingi HUONGEZEWA lakini yule ambaye si mwaminifu, HATA KIDOGO ALICHONACHO ATANYANGANYWA"
AKILI ZINAPATIKANAJE?
MAANA YA AKILI NI KUJUA. Utaishi sawa na kiwango chako cha KUJUA au AKILI. Nyoka anatembea lakini HANA MIGUU, ni kwasaba ANAJUA kuwa ANAWEZA KUTEMBEA BILA MIGUU. Naam jongoo hakimbii japokuwa ana miguu mingi kuliko yeyote ni kwasababu ANAJUA kuwa HAWEZI KUKIMBIA. Yaani UKIFUNGWA KWENYE AKILI, hata kama mwili haujafungwa hutaonda ulipo maana AKILI zitakwambia UMEFUNGWA huwezi kutoka.
Biblia inasema "mazungumzo mabaya huharibu tabia njema ya mtu". Pia inasema "linda sana moyo wako kuliko yote uyalindayo maana huko ndiko zitokapo CHEMICHEMI ZA UZIMA". Chemichemi za uzima ni AKILI, ukikosa AKILI NZURI unaangamia. Mungu anasema "watu wangu wanaangamizwa kukusa MAARIFA (TAARIFA/AKILI)". Akili ni chemichemi za uzima, Biblia inasema "mkamatesana ELIMU (TAARIFA NJEMA ZILETAZO AKILI NZURI) usimuache aende zake mshike MAANA YEYE NI UZIMA WAKO".
Hivyo ulivyo ni MATOKEO YA AKILO ZAKO. Nafsi yako(wewe) ulipokea taarifa fulani ukaziamini moyo wako ukazipokea, sasa ndizo zinakuongoza.
NATAKA LEO UPATE AKILI MPYA ZIKUBADILISHE UWE MTU MWINGINE. Kinachokufanya kuwa hivyo ulivyo yaani UMESHINDWA KUISHI MAISHA MATAKATIFU ni kwasababu NAFSI yako INATAWALIWA NA UOVU.
NI NAFSI CHAFU. Kupiga puri ni sehemu ya nafsi yako, kuangalia porn ni sehemu ya nasfi yako, kuzini safi tu kwa mujibu wa nafsi yako, kusema uongo ni sehemu ya maisha kwa mujibu nafsi yako.
Watakatifu tupo, mimi ni mmoja wapo. Biblia inasema "MTAKUWA WATAKATIFU KAMA BABA YENU WA MBINGUNI ALIVYO MTAKATIFU". Biblia inasema katika waebrania 12:14 "kama wewe si mtakatifu Hutaingia mbinguni". Mungu anasema "WATAKATIFU waliooko DUNIANI hao ndio waliobora hao ndio NAPENDEZWA NAO"
Nasema ukweli tangu niokoke mwaka 2004 nikiwa na miaka 14 mpaka sasa,, namwaka wa 12 kwenye WOKOVU sijawahi kulalia kifua cha mwanamke wala sina mpango mpaka nitakapopata wa kwangu. Naam tangu niokoke mpaka sasa SIKUMBUKI NILINI NILISEMA UONGO.
WOKOVU kupitia Yesu kristo unaweza kukufanya kuwa mtakatifu. Hakuna dini inayoweza kukufanya kuwa mtakatifu.
Kama unataka kupata AKILI NJEMA, ubadilike na kuwa mtu mwema. Karibu kwenye akaunti yangu ya facebook, soma post inayosema "DINI ZOTE ZINATOKA KWA SHETANI", ukielewa post hiyo UTAOKOKA, ukikataa kuokoka UTAHUKUMIWA, AMENI. Pia soma post yangu inayo anza na neno "TUNZA MUDA KAMA MBONI YA JICHO, HUTAKUWA KIPOFU WA MAFANIKIO" Post hii ukiielewa na kuitendea kazi hutakufa maskini. Pia soma post zangu zote ukiweza, UTAPATA AKILI, UTABADILISHWA NA KUFANIKIWA DUNIANI NA UKIFA UTAINGIA MBINGUNI.
Jina la akaunti yangu ni Joachim Mahanga.