engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
Tafuta kitabu cha State of Africa by Martin Meredity, yamesemwa yote kuhusu upuuzi wa viongozi wengi wa kiafrika kama Mobutu na jinsi walivyoweza kukaa madarakani kwa mgongo wa Western Interests.
Ujue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!
Tafuta kitabu cha State of Africa by Martin Meredity, yamesemwa yote kuhusu upuuzi wa viongozi wengi wa kiafrika kama Mobutu na jinsi walivyoweza kukaa madarakani kwa mgongo wa Western Interests.
Ungeitafasiri kwa kiswahili ingekuwa tofauti kidogo...coz hata ukigoogle nadhani utapata same story!!
Udikteta wake,unyanyasaji,na ubinafsi ndivyo vilivysababisha yote hayo.tena nasikia kazikwa huko moroco tena jangwani ili asilinajisi taifa lao(moroco).Ujue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!
Mkuu unaweza kuwa na link ya hiki kitabu?Mkuu wellsaid, ninakisoma na mwandishi ameonesha jinsi hili bara zima zima lilivyo shamba la Bibi hiyo ni tisa kumi ameweka wazi hatua kwa hatua jinsi walivyomuua Lumumba so sad!
Alizikwa Kama mnyama fulani ......lkn nashanga viongozi wa afrika hawajifunzi badoUjue hela sio sabuni ya roho Mobutu alipokufa alizikwa na watu wanne tu tena na maziko yake yalifanyikia nje ya nchi aliyokua anaongoza! Rest in Hell Kuku wa Zabanga!
We mobutu fundi kama hutaki hayaaisee kuna cha kujifunza hapa kwa MOBUTU
Mobutu na mpinzani wake mkubwa, mwanamuziki nguli Franco Luambo Makiadi
Mkuu,Franco hakuwa mpinzan actual walikuwa wanagombana na kupatanaMobutu na mpinzani wake mkubwa, mwanamuziki nguli Franco Luambo Makiadi