Mjue Mchezaji mpira Jean Pierre Adams ambae bado yupo kwenye COMA kwa takriban miaka 38

Mungu amuweke mahali salama kwa kweli,Mwenyezi Mungu ampe maisha marefu mke wake
 
Kuna watu wanateseka hapa duniani.
Wwe ndo unaona anateseka huyo yupo ulimwengu wa pili akitumika akimaliza mkataba wake huko anaweza rudi duniani au kutorudi inategemea na mkataba wa anayemtumikia huko.
Hii ni elimu ya kiroho
 
Wwe ndo unaona anateseka huyo yupo ulimwengu wa pili akitumika akimaliza mkataba wake huko anaweza rudi duniani au kutorudi inategemea na mkataba wa anayemtumikia huko.
Hii ni elimu ya kiroho
Mkuu fanya mchakato wa Uzi wa hio mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom