Acha utani mkuu hiyo mechi ilikuwa draw Laila alipewa ushindi wa point kwa heshima tu lakini hakumpiga Wakili msomi Jackie Frazier ambae wakati wa pambano alikuwa na miaka 39 huku Laila akiwa na miaka 23/24.Jackie Frazier alipigwa kama mtoto na Laila. Hivyo Laila ndio malkia na hajawahi kupigwa na bondia yoyote toka aanze ngumi mpaka anastaafu.
Mkuu tuongee tu ukweli sio kwa sababu mtu umeamua kuwa opinion wa upande fulan. Mechi inaonesha wazi kuwa Jackie alipigwa katika pambano kuanzia mwanzo hadi mwisho. Katika boxer hakunaga cha ushindi wa hovyo hovyo eti kwa sababu ya heshima.Acha utani mkuu hiyo mechi ilikuwa draw Laila alipewa ushindi wa point kwa heshima tu lakini hakumpiga Wakili msomi Jackie Frazier ambae wakati wa pambano alikuwa na miaka 39 huku Laila akiwa na miaka 23/24.
Alipigana kwa miaka 8 tu akaamua kustaafu kutokana na umri, pia alikuwa amesomea mambo mengine ya kibiashara hivyo akaamua kujikita katika biashara zake. Huku akiwa hajawahi kulishwa udongo hata siku 1Mapambano 24 tuu.. mbona machache ivo
Hilo pambano lipo You Tube bana mkuu na.kila mtaalamu wa ngumi anasema it was a draw. Hata mtangazaji kuna muda anasema " This is not a fight that Laila want to fight "Mkuu tuongee tu ukweli sio kwa sababu mtu umeamua kuwa opinion wa upande fulan. Mechi inaonesha wazi kuwa Jackie alipigwa katika pambano kuanzia mwanzo hadi mwisho. Katika boxer hakunaga cha ushindi wa hovyo hovyo eti kwa sababu ya heshima.
Maana kama heshima wote wazazi wao walikuwa na heshima katika mchezo huo.
π₯°ππ½ππ½Nakwambia amepigana mechi 24 na zote kashinda, hajawahi kupigwa. Sasa hizo za kubabuliwa utazitoa wapi mkuu?
ππ Haya banah, hii comment yako inanikumbusha story fulan ya zamani eti Zanzibar ilicheza na Tanzania bara, sasa mechi ilichezewa Zanzibar kwenyewe hivyo wenyeji walikuwa na uwezo wa kutufunga kutokana na kuonesha kuudhibiti mchezo kwa chenga kali na vionjo vya hapa na pale. Cha kushangaza Zanzibar ilikuwa hata ikifinga katika lango letu hawapigi shuti golini, wao wanarudisha tena katikati ya uwanja chenga zinaendelea.Hilo pambano lipo You Tube bana mkuu na.kila mtaalamu wa ngumi anasema it was a draw. Hata mtangazaji kuna muda anasema " This is not a fight that Laila want to fight "
Laila alidhibitiwa sana that day. Jackie Frazier fighting skills are unmatched.
Laila Ali alipewa ushindi kwa upendeleo maalumu kwa sababu tu ya kulinda brand yake ( she was only 23 and Jackie was 39)
Jackie Frazier kaanza kupigana.ngumi akiwa na.miaka.38..it was more of just fun for her. Alikuwa mwanamichezo anaependa michezo mbalimbali . Aliamua kuingia kwenye boxing just for fun. Wakati anapigana na Laila hiyo mwaka 2001 Jackie Frazier alikuwa judge huko nchini Marekani. So unaweza kuona kwanini referees waliamua kumpa Laila.ushindi. it was better for them to.protect Laila's brand kwa sababu Laila alikuwa bado anapigana na industry ilikuwa bado inamuhitaji. Yeye alikuwa ndio nembo ya boxing kwa wanawake at that time.
Hata ingekuwa wewe ndio judge. Pambano limeisha round zote bila KO. Umpe ushindi huyu career boxer mwenye umri wa miaka.23 ambae bado ana miaka.mingi ya kuendelea kupigana na kuuinua zaidi mchezo wa boxing plus ili uendelee kuikuza brand yake na mchezo wa boxing kwa.ujumla au umpe huyu judge mwenye miaka 39 ambae anapigana as her part time job? Unapaswa kuzitambua siasa za boxing.
Ni kama ilivyo tokea kwa Evander vs George Foreman mwaka.91, hapo Evander ndjo bondia wangu bora wa wakati wote lakini kwenye hiyo.mechi.alipewa ushindi wa heshima.
Kwenye boxing maamuzi ya judges kwenye pambano lililoisha round zote mara zote huwa discretional
Wanawake wanaojiliza kwenye mnyanduano hua wanakera sana yaan mtu analia km anachomwa na pin ya tako, unajiuliza wanafanya makusudi waonekane wanapigwa mtinyama au?π₯°ππ½ππ½
Inategemea mkuu. Kama una tango basi jua analia kweli, ila kama kibamia elewa unatengenezewa mazingira ya kutapeliwa baada ya mechi ππWanawake wanaojiliza kwenye mnyanduano hua wanakera sana yaan mtu analia km anachomwa na pin ya tako, unajiuliza wanafanya makusudi waonekane wanapigwa mtinyama au?
π€£π€£π€£ mbona nje ya mada sasa?Wanawake wanaojiliza kwenye mnyanduano hua wanakera sana yaan mtu analia km anachomwa na pin ya tako, unajiuliza wanafanya makusudi waonekane wanapigwa mtinyama au?
BalaaIlikuwa ni mwendo wa kuwavunja warembo wenzie videvu tu ππ