Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
HahahahaaaSisimizi dawa ya tumbo bana!
Unusa hata harufu zilizo ndani ya kuta za zege? Maana utaacha mchuzi mezani ndani ya nyumba yenye kuta za zege lakini hawachukui dakika nyingi kufika kwenye huo mchuzi.Sisimizi wana uwezo wa kunusa harufu kwa mbali mara 5 ya wadudu wote unaowajua
Hiyo ndio inawafanya wawe special
Sent from my SM using Tapatalk