Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,806
Msamehe bure hawa vijana waliosoma enzi hizi hawajui historia hata kusoma vita ya Kagera, dogo atakuwa katumwa na PKkama unalipwa kuandika hadithi za abunuasi juu ya PK...sawa
but kama unajisemea kwamba PK ndiye aliyemtimua Amini...INA kupasa utoe maelezo ya kutosha..yaliyoshiba
na si abrakadabra
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndio naileta sehemu ya Pili. Vipi nifungue uzi mpya au niutipie humu humu kwenye huu uzi?
Search Mjue Jasusi Paul Kagame sehemu ya pili Nimetupia
Hiyo sehemu ya pili iko comment #? Haionekani tupia hapa hapaLeo ndio naileta sehemu ya Pili. Vipi nifungue uzi mpya au niutipie humu humu kwenye huu uzi?
Kiukweli hata mm nimeshangaa, yaani kagame ndo aliyemuondoa Idd Amin?? duuuh wanyarwanda ni waongo mno...anampa sifa asiyo stahili
Samahani, Naomba utumegee hiyo ya General Mwakibolwa na M23 namna mkanda ulivyokuwa.Hayo waliyokuwa wanafanya akina Kagame na Museveni yalibarikiwa Ikulu ya Magogoni na usikute hata unavyomsifia Kagame Backup ya Intelligence alikuwa anaipata kutoka TZ, Jiulize swali kama anaijua vizuri Intelligence mbona Kashindwa kumuondoa Kaguta pale UG, Mbona M23 ilikufa kifo cha mende baada ya General Mwakibolwa kuwapiga mizinga ya kutosha hadi Kagame akaingia bifu na JK?
Sent using Jamii Forums mobile app