Kwenye interview aliyofanya na WasafiInnos'B ,yy mwenyewe alitamka kwa kinywa chake alimwomba Diamond wafanye Rmx ya Yope.Diamond ni maarufu kuliko huyo
hata kama humpendi mtu usiongee uwongo kumshusha
InnoB ni mzima kweli yule?Ukimuangalia anaonekana kama Bwabwa hivi ,au ni macho yangu tu.Ila kajitahidi sana ile ngoma kali sana.
Dada mbona umeenda mbali sana[emoji28], wacongo wengi wanajichubua ona kawaida tuuInnoB ni mzima kweli yule?Ukimuangalia anaonekana kama Bwabwa hivi ,au ni macho yangu tu.Ila kajitahidi sana ile ngoma kali sana.
Wanamtafuna na katafunwa sana marekani ukumbuke alikua na akina Akon, muulizeni mayunga wa Tanzania aliombwa ndogo marekani akachomoa na kukimbia jumla
Kumbe sijakosea maana nilipomwangalia tu nikajua hapa kuna walakini.Mayunga kaishia wapi sasa?Hajatoa ngoma?Wanamtafuna na katafunwa sana marekani ukumbuke alikua na akina Akon, muulizeni mayunga wa Tanzania aliombwa ndogo marekani akachomoa na kukimbia jumla
ha ha haUlitaka tumjue innos b au ulitaka kuongea pumba kuusu msanii wa kimataifa wa Tanzania Diamond Platnumz?
Hivi wimbo unaitwa yo pe au pe yo?