Member of CCM to date?Full Name: Edward Ngoyai Lowassa
Member Type: Constituency Member
Constituent: Monduli
Political Party: CCM
Office Location: P.O. Box 139, Monduli
Office Phone: +255 754 800000
Office Fax: +255 22 2452037
Office E-mail: elowassa@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Date of Birth: 26 August 1953
EDUCATION
University of Bath, UK
MSc. (Development Studies) - MASTERS DEGREE
University of Bath, UK
MSc. 1983 1984 MASTERS DEGREE
University of Dar Es Salaam
BA (Edu) Hons. 1974 1977 GRADUATE
Milambo Secondary School
A-Level Education 1972 1973 HIGH SCHOOL
Arusha Secondary School
O-Level Education 1968 1971 SECONDARY
Monduli Primary School
Primary Education 1961 1967 PRIMARY
EMPLOYMENT HISTORY
Tanzania Government
Prime Minister 2005 - 2008
Ministry of Water and Livestock Development
Minister 2000 - 2005
State, Vice President's Office
Minister for Environment & Poverty 1997- 2000
The Parliament of Tanzania
Member - Monduli Constituency 1995 - 2015
Ministry of Lands, Human Settlement Development
Minister 1993 1995
State, Prime Minister's Office and First Vice President
Minister (Judiciary &Parliamentary Affairs) 1990 - 1993
Arusha International Conference Centre
Managing Director 1989-1990
POLITICAL EXPERIENCE
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Member 1990 Todate
Chama Cha Mapinduzi, CCM
Party Executive-District, Regional &Head Office 1977-1989
Unafiki wa daraja la kwanza...kwa sasa umegeuka dodoki...mkuu wa sera na utafiti...kwa utafiti gani?..lazima utakuwa unaingiza chama machakani....leo JF inawaweka uchi mnakula matapishi...pumbaf...uende na FB ukafute upuuzi mwingi uliokuwa unaandika kipindi cha kampeni...vipande vichache vya hela mnauza utu wenu...mjifunze kuweka akiba ya maneno ili angalau kuwa na heshima..."you lack consistency,credibility and moral authority...!Mbona ile shahada ya Mapambo na mazingaombwe haionekani.Shahada ya Kwanza ilikua Education Kweli?Huu ni ufisadi wa kitaaluma nao
"Mungu" yupi?EL lazima awe rais wa Tanzania.Watashindana nae sana,watampaka matope sana lakini mwisho wake watashindwa na atachaguliwa kuwa rais wa nchi yetu Tanzanaia.Mungu mpe ulinzi wa hali ya juu maana wenye roho mbaya ni wengi saaana.
Watanzania wanajua na dunia nzima inajua.Mbona ile shahada ya Mapambo na mazingaombwe haionekani.Shahada ya Kwanza ilikua Education Kweli?Huu ni ufisadi wa kitaaluma nao
Kwa sasa bado ni gwiji la sanaa za maigizo au kageuka "masihi" wako?Huyu ni gwiji wa sanaa za maigizo.Igizo lake la mwisho "RICHMOND" liligharimu pesa nyingi sana kulitengeneza.
Mwakani anatarajia kuongoza kikundi chake cha maigizo "CCM" kuandaa igizo la mwisho kabla kikundi hakijasambaratika.
Kijana msimamo wako kwa sasa ni nini?...mbona umekula matapishi?Mtifu kweli kweli kwenye ufisadi
Ila kwa sasa umeheuka dodoki kumsafisha...Kwenye wizi ni mtiifu kweli lakini hana sifa za kuwa raisi
Ha haa...Lowasa ndio raisi hutaki kajinyonge
Huyu ni mwanamaigizo tu. Mimi ni CHADEMA ORIGINAL ninayechukia ufisadi kutoka moyoni. Mimi sio ULIPO TUPO.Kwa sasa bado ni gwiji la sanaa za maigizo au kageuka "masihi" wako?
Nadhani alimaanisha ile ya mapambano vitani Uganda, akiwa officer wa rank ya Captain jwtz.inatolewa chuo gani, nchi gani