Mjue Draco Lizard (flying dragon) mjusi anayeweza kupaa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,191
4,103
Draco Lizard ni mjusi anayeweza kupaa kutoka mti hadi mti, akiwa anamkimbia adui au kuonesha umiliki wa miti. Chakula chake kikubwa ni wadudu.

Wanapopaa huwa wanatoa ngozi ambayo huwa kwenye mbavu zao ambayo ndio huwa kama mbawa wanapopaa. Majike huwa na mbawa za njano na madume huwa na mbawa za bluu.

Mijusi hawa wanaweza kuruka hadi futi 100 sawa na mita 30.4.

Habari yako imekosa ushawishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom