Mjue Dr. Ian: Daktari aliyekufa, akafufuka, na sasa ni Mwinjilisti wa kimataifa!!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana. Akafa.

Kwa mujibu wa taaluma ya udaktari, mtu anahesabika amekufa endapo anatimiza vigezo vifuatavyo (hasa katika mazingira ya hospitali):
  • Hana mapigo ya moyo (cardiac arrest).
  • Hapumui (respiratory arrest).
  • Pupils hazijibu mwanga (fixed and dilated).
  • Mwili wake unakuwa baridi au mwepesi. Hii mara nyingi hutokea ndani ya dakika chache baada ya moyo kusimama.
Wauguzi baada ya kuthibitisha kuwa Dr. Ian amefariki walitangaza kifo chake, wakamfunika shuka na kumwacha kwanza kitandani. Masaa machache baadaye, kabla hajazikwa, alifufuka!

Baada ya kufufuka, Dr. Ian alishuhudia kwamba alionyeshwa kuzimu na baadaye akaonyeshwa mbinguni. Kwa neema ya Mungu, alipewa nafasi ya kuwa hai tena. Baada ya tukio hilo, maisha yake yalibadilika kabisa. Aliacha maisha ya dhambi, akatubu na kumwamini Yesu. Ushuhuda wake ulirekodiwa na Televisheni maarufu(TBN).

Leo hii Dr. Ian anahubiri Injili katika nchi nyingi duniani. Anapohubiri, anasisitiza juu ya wokovu unaopatikana kwa neema kwa njia ya Yesu Kristo, na kwamba alionja rehema ya Mungu ya kuendelea kuishi baada ya kufa. Wanaosema hakuna mbingu, mtafuteni Dr. Ian atawashuhudia zaidi.
 
My take: Kwamba alikuwa katika mwili au alikuwa katika roho wakati anaonyeshwa kuzimu na mbinguni, mimi sijui, ila Mungu ajua. Ushuhuda huo unafanana na wa Paulo jinsi alivyonyakuliwa na kuonyeshwa mbingu ya tatu.
 
Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana. Akafa.

Kwa mujibu wa taaluma ya udaktari, mtu anahesabika amekufa endapo anatimiza vigezo vifuatavyo (hasa katika mazingira ya hospitali):
  • Hana mapigo ya moyo (cardiac arrest).
  • Hapumui (respiratory arrest).
  • Pupils hazijibu mwanga (fixed and dilated).
  • Mwili wake unakuwa baridi au mwepesi. Hii mara nyingi hutokea ndani ya dakika chache baada ya moyo kusimama.
Wauguzi baada ya kuthibitisha kuwa Dr. Ian amefariki walitangaza kifo chake, wakamfunika shuka na kumwacha kwanza kitandani. Masaa machache baadaye, kabla hajazikwa, alifufuka!

Baada ya kufufuka, Dr. Ian alishuhudia kwamba alionyeshwa kuzimu na baadaye akaonyeshwa mbinguni. Kwa neema ya Mungu, alipewa nafasi ya kuwa hai tena. Baada ya tukio hilo, maisha yake yalibadilika kabisa. Aliacha maisha ya dhambi, akatubu na kumwamini Yesu. Ushuhuda wake ulirekodiwa na Televisheni maarufu(TBN).

Leo hii Dr. Ian anahubiri Injili katika nchi nyingi duniani. Anapohubiri, anasisitiza juu ya wokovu unaopatikana kwa neema kwa njia ya Yesu Kristo, na kwamba alionja rehema ya Mungu ya kuendelea kuishi baada ya kufa. Wanaosema hakuna mbingu, mtafuteni Dr. Ian atawashuhudia zaidi.

View: https://youtu.be/k9sL2waYglg?si=eNlrWNUMxwvl3K5b
 
Yupo mchezaji wa zamani wa ligi kuu ya Uingereza ilishamtokea
 
Setfree kama upo kijani hizo ni ndoto za mauzauza,kwa sababu ya hofu na wasiwasi achana na hao viumbe and you will be free.
 
Iliwahi kunitokea, ajabu mbinguni nilimuona mtu mmoja tu #Hayati Mwinyi peke yake!... Rais awamu ya pill.
I don't know why?
Nikawa naonyeshwa huyu amefikia ngazi ya ulamah, kwa kweli sifahamu ulamaha inamaana gani?
 
Setfree kama upo kijani hizo ni ndoto za mauzauza,kwa sababu ya hofu na wasiwasi achana na hao viumbe and you will be free.
Jesus has already set me free from the fear of hell. Labda wewe ndo unaogopa ukisikia kuzimu. Mimi Yesu akirudi naenda zangu mbinguni. Wasiwasi utoke wapi, mkuu
 
Mbinguni haendi kila mtu hasa wale wasiowapenda jirani,ndugu zao kama wanavyojipenda wenyewe."Amri kuu ya mapendo""Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenywewe"
 
Dr. Ian McCormack ni daktari aliyefufuka baada ya kufa kwa masaa kadhaa. Daktari huyu alikuwa anapenda maisha ya anasa na kuogelea. Siku moja alipokuwa akiogelea baharini, aling’atwa na mdudu mwenye sumu kali. Alilazwa hospitalini, madaktari wakajitahidi kuokoa maisha yake lakini haikuwezekana. Akafa.

Kwa mujibu wa taaluma ya udaktari, mtu anahesabika amekufa endapo anatimiza vigezo vifuatavyo (hasa katika mazingira ya hospitali):
  • Hana mapigo ya moyo (cardiac arrest).
  • Hapumui (respiratory arrest).
  • Pupils hazijibu mwanga (fixed and dilated).
  • Mwili wake unakuwa baridi au mwepesi. Hii mara nyingi hutokea ndani ya dakika chache baada ya moyo kusimama.
Wauguzi baada ya kuthibitisha kuwa Dr. Ian amefariki walitangaza kifo chake, wakamfunika shuka na kumwacha kwanza kitandani. Masaa machache baadaye, kabla hajazikwa, alifufuka!

Baada ya kufufuka, Dr. Ian alishuhudia kwamba alionyeshwa kuzimu na baadaye akaonyeshwa mbinguni. Kwa neema ya Mungu, alipewa nafasi ya kuwa hai tena. Baada ya tukio hilo, maisha yake yalibadilika kabisa. Aliacha maisha ya dhambi, akatubu na kumwamini Yesu. Ushuhuda wake ulirekodiwa na Televisheni maarufu(TBN).

Leo hii Dr. Ian anahubiri Injili katika nchi nyingi duniani. Anapohubiri, anasisitiza juu ya wokovu unaopatikana kwa neema kwa njia ya Yesu Kristo, na kwamba alionja rehema ya Mungu ya kuendelea kuishi baada ya kufa. Wanaosema hakuna mbingu, mtafuteni Dr. Ian atawashuhudia zaidi.
Umeandika kutuhabarisha ulichokisoma kwingineko au nawew unaamini huu upuuzi?

Kiumbe Ambae alipewa hiyo nafasi ni Mmoja tu na hataweza kutokea mwingine kwenye pembe hii ya dunia yenye dhuluma na Kila aina ya dhambi.

Hizi Ngoma na ngonjera zinazotengenezwa Kwa lengo lakuwaangamiza waaminio kweli juu ya mungu wao zitafika mwisho.

Tumia akili kung'amua haya mambo la sivyo utaingia kwenye mtimbwi wa wajinga.
 
Mbinguni haendi kila mtu hasa wale wasiowapenda jirani,ndugu zao kama wanavyojipenda wenyewe."Amri kuu ya mapendo""Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenywewe"
Ni sawa, ila mimi si miongoni mwa hao. Nawapenda majirani ndo sababu nafanya bidii kuwaeleza ukweli wasije wakaangamia kwa kukosa maarifa
 
Itakuwa alizimia kwa mapigo ya moyo kuwa chini; wengine uchukua siku kadhaa mpaka kuja kuzinduka.
 
Umeandika kutuhabarisha ulichokisoma kwingineko au nawew unaamini huu upuuzi?
Kwanini unauita upuuzi?
Kiumbe Ambae alipewa hiyo nafasi ni Mmoja tu na hataweza kutokea mwingine kwenye pembe hii ya dunia yenye dhuluma na Kila aina ya dhambi.
Shuhuda za namna hiyo zipo nyingi. Nafasi wanapewa wengi wenye moyo wa unyenyekevu. Watu wabishi kama wewe sidhani kama wanaweza kupata nafasi ya pili.
Hizi Ngoma na ngonjera zinazotengenezwa Kwa lengo lakuwaangamiza waaminio kweli juu ya mungu wao zitafika mwisho.
Haziwaangamizi. Zinawatahadharisha. Kwani kuzimu haipo? Mbingu haipo? Unaangamiaje kwa kusikia ukweli
Tumia akili kung'amua haya mambo la sivyo utaingia kwenye mtimbwi wa wajinga.
Hujasoma kwamba Paulo alinyakuliwa hadi mbingu ya tatu, akasikia maneno yasiyotamkika. Hiyo nayo ni habari ya ujinga? Lazaro alikufa, akafufuka siku ya nne. Unafikiri alivyokufa alienda wapi. Halafu ili ujue kuna ukweli kuhusu ushuhuda huo, huyo ndugu baada ya tukio hilo aliacha maisha ya dhambi akaanza kumtumikia Mungu kwa kuhubiri Injili kamili. Angesema alionyeshwa watu wanakunywa bia mbinguni, nisingehangaika hata kuandika ushuhuda huu hapa.
 
Back
Top Bottom