Mjue Donald Trump

Mmmhh! Nimeanza aya ya pili kwa kusema: "Pili, si wazungu wote wabaguzi ......." Uliuona msitari huo? Hoja yangu ilikuwa kukanusha kwamba kuna watu weusi wachache kwa hivyo hawawezi kubadilisha mambo iwapo wazungu wanamtaka Trump.
Us ina 340,000,000 Idadi ya watu wake na ktk hyo 340 million watu weusi ni asilimia 30 tu hvyo jibu unalo mkuu
 
Marekani wenyeji ni red Hindus kasome tena historia!
 
Kujisifu kote kumbe alirithishwa kampuni. Marekani hawana rais kwa staili hii
Kwani kurithishwa / kurithi kampunu ni tatizo?

Kujisifu kuna tatizo gani? Ni vibaya kurithi mali ya babake na perhabs anasimamia vizuri?
 
Hata kama alirithishwa lakini baada ya kurithishwa hizo Kampuni zilidhoofu au ziliimarika?
Achana na huyo...hao ndio wale ambao wanaponda watu wanaorithi mali za wazee wao while wanaziendeleza vizuri zaidi.

Yaani wanataka mtu ahustle tu ndio aonekane mjanja. Poor them
 
Najiuliza kwanini CNN pekee ndio wanetoa after debate results kuwa Clinton kashinda ila wengine wote wamempa Trump
 
Hazikosi kuwa akiri za lumumba hizi
 

Fikra zako zinasadifu za kwangu,yaani mule mule, nukta kwa nukta neno kwa neno.
 
Ndiyo maana anapenda vita. Hajawahi kupigana baada ya kutoka chuoni sasa anataka kupata uzoefu kwa kuwapiga waislamu na waarabu? Akishinda uchaguzi Marekani itafilisika tu kwa kuwa ni mzoefu wa kufiliska kibiashara.
 
namkubali kinoma huyu jamaa coz sio muongo kama hilary
hilary hafai kuwa rais USA COZ ASHAFANYA USHENZ KIBAO MPAKA KUUA ENZI ANACHEO CHA UWAZIRI HAPO NYUMA
 
sio mbaguz kama wanavvyofkiri
kwasababu hata huyu msanii WAKAZI... ashafanya kazi kwenye hotel ya donald trump na amewahi kumpelekea magazeti siku moja

ila hapendi hand shaking kwa mtu yeyote
 
Najiuliza kwanini CNN pekee ndio wanetoa after debate results kuwa Clinton kashinda ila wengine wote wamempa Trump

Wengine wote ni kina nani hao waliompa Trump ushindi katika mdahalo wao? hebu tutajie ili tufaidike na tuachane na taarifa za upendeleo za CNN.
 
ana sera za kidikteta na kibaguzi endapo atapewa urais atawanyosha sana wahamiaji ila sidhani kama atachaguliwa kutokana na ubaguzi na misimamo yake kupingwa na wengi
 
Najiuliza kwanini CNN pekee ndio wanetoa after debate results kuwa Clinton kashinda ila wengine wote wamempa Trump
Ile ni Clinton News Network (CNN) Trump alishawaambia if you want to stay young and handsome never watch CNN, and cha pili tuwe wadadisi kidogo jamani reporters was CNN 90% wamedeclare kumuunga mkono clinton! Na sio leo au jana bali toka kitambo wapo na mama Hillary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…