Mjue bado tunajitaji reforms, Wapiga kura wa CCM wa uhakika ni wajumbe ambao ni sehemu ndogo sana ya wananchi

Mjue bado tunajitaji reforms, Wapiga kura wa CCM wa uhakika ni wajumbe ambao ni sehemu ndogo sana ya wananchi

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,387
Ni kweli , kuna mchezo unaochezwa na vyombo vya habari na kitengo cha propaganda cha CCM ionekane kuwa sehemu kubwa ya wananchi wapiga kura ni CCM , nawaambia wapiga kura wa uhakika wa CCM ni Wajumbe wao tu, ambao ni sehemu ndogo sana ya wananchi ambao ni wapiga kura wa ujumla wa Taifa. CCM wamepiga kura , huku mtaani shughuli za uchumi zinaendela kama vile hakuna kura zilizopigwa watu wapo kwnye shughuli zao kama kawaida.

Nawaambia CCM , Kuteua wajumbe ni jambo moja na uchaguzi mkuu na wananchi wake ni jambo jingine, huko CCM wao wananunua nafasi ya kuchaguliwa kuwa mbunge, na sijaona mbunge yoyote aliyepitishwa hajatoa pesa, wajumbe sera yao ni moja tu pesa yako ndo inayokupitisha, sijui kwa vyama vingine, lakini kwa CCM hakuna mgombea hajatoa rushwa, halaf CCM mnataka kudanganya wananchi kuwa mnakubalika, na kama wagombea wenu ni wazuri kwanini walikuwa wakitoa rushwa kwa wajumbe, wote wanafanya hivyo. kuna wabunge wastaafu muda si mrefu wataanza kutuomba pesa ya kula.

Tunataka Uchaguzi wa wazi na wa haki, ili angalau hata wananchi wafurahie upigaji kura, kwa staili ya CCM matumizi ya Rushwa yanapungua baada ya mchakato na SASA YANAFUATA MATUMIZI YA POLISI NA DOLA, YA KUTANGAZA WAGOMBEA WA CCM WAMESHINDA , NO REFORM NO ELECTION
 
Back
Top Bottom