Mjomba wangu sitakusahau

Ndugu kwa maelezo haya kabisa huna cha kumlaumu mjomba wako ulikiri hizi kazi mfano udaktari unagawiwa kama peremendr?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesomea mambo yepi?

Manake mara naona udaktari,mara Umeme,umbobea wapi zaidi?
 
Write your reply...nimesomaaaa nikarudia kwny suala LA elimu na kazi ya udaktari nikahitimisha wewe ni Mwehu Mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…