Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

una uhakika rwanda inakua kiuchumi

si kweli
-rwanda imejengwa kwa uchumi wa wizi wa madini
-Misaada kila mwaka 2B from US bado nchi nyingine
-hivi vyote vikisitishwa basi
PK amewekeza sana kwa PR na amefanikiwa kuwaaminisha watu uongo wa kiwango cha juu sana kuhusu hiyo nchi yake.
 
Baada ya Abby kumbe na PAKA ni ankal wako
 
Najikumbusha washirika wake wa karibu na aliowahisi ni wabaya wake aliokwisha kuwaua: Fred Rwegima, Hyabarimana, Patrick Kaegeya, Kizito, Assinapol Rwigara, Anne Rwigara.

Hakika huyu Mtusimrefu kama rula naye lazima atakufa kwa risasi na mateso makubwa
 
Habyarimana hakuwa mahiruka wake na Anne Rwigara hajafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…