Mjomba ndiye aliyenitoa bikira yangu!

...Sasa hapa tunatoa mawazo tumsaidie nani? Pape mwenyewe amenukuu!!

Anyway, next time kwa yeyote anayehusika na anayependa kulinda utu wake, aepuke kuwa katika mazingira kama hayo... yani mpo wapweke ndani wawili tu, mlango umefungwa, jinsia ya kike na Kiume, afu mnaangalia Movie, then mnakata wine...
 
Thibitisha basi kwa kubonya kitufe kule kunako!
 

Jamani mimi sijaelewa. Mbona anazungumizia mambo ya kinyume? Ni bikira ipi tunayojadili hapa?
 
Nimesoma hadithi yako kwa makini sana,hilo ni tatizo dogo sana dada yangu unahitaji msaada wa kiroho ili uweze kusamehe na kusahau yote yaliyotokea,jitahidi uwaone viongozi wa dini maana Yesu anatufundisha kusamehe na kusahau ili na sisi tupate kusamehewa,hudhuria ibada katika kanisa lolote linalohubiri habari njema za wokovu wa Yesu kristo waone watumishi wa Mungu waeleze tatizo lako baada ya kufanyiwa maombezi tatizo lako litafikia mwisho na utashangaa Mungu alivyo wa ajabu.USIJIUE,kama utahitaji maelekezo zaidi wasiliana nami kwa akamanyusi@yahoo.co.uk
 

Labda Pape ata-copy na ku-paste kwa musika. La sivyo tunatwanga maji kwenye kinu!
 
Bora ajiue tu ili atupishe..........! Wote hao tuliwabikiri wakiwa na mawazo ya kutuwekea sumu....mbona tutakwisha....!
 
acha kuishi kwa kumbu kumbu hiyo ni mbaya, imeandikwa samehe na kusahau sasa we vipi au maana ungekuwa Muislamu bado Mungu mpenda amani anakuhusu, fuata maagizo yake tu utakuwa mtu mbaya sana katika maisha yako ukiishi kwa kumbukumbu za zamani maana huwa hazisaidii katika maisha. Ama kawaone washauri nasaha wakusaie, au nitafute kwa nomber hii +971559301359 nikusaidie zaidi
 
Mi naona bora ulifanyie kazi hilo wazo lako la kujiua,wapenda ndoa wachukue nafasi yako!!
 

Wanawake au niseme wasichana wengi huwa wanapata matatizo kama yake siku hizi kwa mambo kama hayo ya kuangalia TV na kunywa pombe na mwanaume aliyekamilika peke yake tu ndani ya nyumba. Kosa ni lake hakujua kwamba picha za mapenzi na pombe huwa kinachofuata ni kitendo chenyewe baada ya mashetani ya ngono kumpanda mtu.
Anachoweza kufanya kwa sasa ni kumueleza tu huyo mjomba wake kwamba alikosea sana kumfanyia kitendo hicho ili wasameheane kama mjomba atakuwa na busara za kuomba msamaha. Zaidi ya hapo hakuna zaidi ya fujo za kushtakiana na kesi kufanyika na mjomba kukataa na kushinda kesi kwa sababu kwa mazingira anayoyaeleza hana shahidi aliyemueleza au kumuonyesha alivyoumizwa sehemu zake.
Nawaasa wazazi kutowaacha watoto wao wa kike kukaa na minjemba kuangalia TV na movie wakati hawapo ni hatari sana.
 
samehe na usahau ikibidi mwite mjomba mweleze na mwambie nimesamehe
 
Kubikiriwa ni kubikiriwa tu, isitoshe wanawake wote wanabikiriwa katika mazingira ya kiaina aina tu. Endelea na maisha yako achana na mawazo ya kishetani.
 
Moving on is a process moving forwad is a choice,moving on is letting things happen while moving forwad is making things happen!!Let it go, coz what done is done huwezi rudisha hiyo bikra
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…