katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
- Thread starter
- #21
Nimeandika vibaya samahanini?
Tulikua tukijitahidi sana kupotezeana mda,Wadau wa jf mjiulize hivi hadi sasa mna miaka mingapi na mmefanya kitu gani katika maisha mnachojivunia??
Kama nini?
Unfortunately PC yangu siko nayo iko na bro Mafia huko. Ila unaweza ku download inapatikana kirahisiMkuu jana nimekapitia kidogo google kumbe nika patriot & Hero hivo.. aisee kama utaweza kunipatia hio utakua umenisaidia...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimefikisha 21 years
Nimeuona mwaka 2019
Nina kageto japo nkipigwa na shida naruka home kwa maza fasta
Nimeanza kujitegemea
Oooh... Ahsante pia kwa kujali.Unfortunately PC yangu siko nayo iko na bro Mafia huko. Ila unaweza ku download inapatikana kirahisi
Mimi najivunia kukurushia ndoano yangu lakini ukameza chambo tu na kuacha ndoano!!Wadau wa jf mjiulize hivi hadi sasa mna miaka mingapi na mmefanya kitu gani katika maisha mnachojivunia??
Kama nini?
Naomba nieleweshe hapo cha,kuachwaMimi najivunia kukurushia ndoano yangu lakini ukameza chambo tu na kuacha ndoano!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ulinitolea nje Katoto kazuri, tena wakati nimeshameza mkuyati!!Naomba nieleweshe hapo cha,kuachwa
Sio mimi labda katoto kadhuri[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ulinitolea nje Katoto kazuri, tena wakati nimeshameza mkuyati!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipopata niambie siku nikiingia Mafia nikuchukulie bablaiOooh... Ahsante pia kwa kujali.
Nitakitafuta kitabu na muvi zake hata mtandaoni. ..
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Bien samaritano Wapi upo?? Mkuu
Hahaha I am no Samaritan see... Dasalade tu hapa kwa bashite...Bien samaritano Wapi upo?? Mkuu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ukipata nistue mkuu.. Karibu chuganiano