Mjini raha

naul ya kurud kwa village hatuna bac itabid tubanane hapa hapa🙂🙂
 
We Mrembo by Nature bado unang'ang'ania mjini tu hadi muda huu? Hebu bwana mwambie shemeji atupeleke Serena bibi acha uchoyo ah! ..... mie na weye tena shogaangu! lol
 
Last edited by a moderator:
Ushoga tukutane harusini na misibani. Kwenye mambo mengine kila mtu abaki kwake na dinner akale kivyake. Mie mambo ya kuleteana kadi nani anataka

Bibi wee kadi na sare uvishwe na bado ulazimishwe kwenda daka jiua la bi arusi.............. hahaha mambo ya kulazimisha bwana atabasamu utaweza weye? hahaha leo kusema ukweli nimebakia na mshangao (Afu ajabu jamani usiku wa kuamkia leo niliwaota mie hawa hata sijui ilikuwaje nkawaota!!) kumbe ndo nakutana na shuzi lao asubuhi hahahaha ebu mie nlale ..............mjini raha mwankwetu!
 

Tulale tusubiri kesho tunaamka na lipi manake.....la leo sikulitegemea mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…