Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Smile, wewe kijijini utarudi kweli?
naona wa born here here haituhusu.
Ila Mrembo by Nature ujue kijijini raha sana yaani kuku mweupe anachemshwa na chumvi tu ila mtamu balaa
siyo huku makuku yetu ya rangi
hata mm crudi, niwaache warembo wote hawa
Kijijini sembe iwepo?wanaitoa wapi? mijini raha hasa ukimpata bwana muuza sembe anayeweza badilisha status from unknown to known....hehehe msinisute mie.
kijijini kuna dona
eti ulimwibia shogako ule hela za dona 1Kijijini sembe iwepo?wanaitoa wapi? mijini raha hasa ukimpata bwana muuza sembe anayeweza badilisha status from unknown to known....hehehe msinisute mie.
hivi mwanaume huwa anaibiwaje na rafiki yako?
Stamina nauli hata haikosekani......Na sisi tuliozaliwa mjini tusemeje?! Ha! ha! haaaaaaaaa!! napita tu nikipata nauli nitarudi......!!
eti ulimwibia shogako ule hela za dona 1
Smile wapo sanaeheheee mabwana wauza sembe kijijini wapo?