Mjini kila kitu kwa mrija

Mjini kila kitu kwa mrija

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
F.jpgtia neno
 
Hi kwel kali mchuz wenywe usikute ameachiwa.

Akitoa mrija kwenye mchuzi atauweka kwenye mchicha na kuanza kuuvuta,akishindwa ugomvi na mpishi kwamba mchicha haujaiva ndio maana haupiti kwenye mrija.
 
Huyu juzi juzi si ndo alikuwa kaenda kumtembelea mwana JF mmoja humu.
 
Unakumbuka msemo wa kuku kwa mrija, basi mama anakula kichwa cha samaki kwa Mrija
 
Awamu ya kwanza ilikatwa mirija yote naona sasa imerudi tena
 
Back
Top Bottom