utakufa na uraru wako... waachie wenzako wenye meno wale
na we umeanza kuwabadilisha...
Kama mapenzi ni pesa basi kaolewe na bank
Na mimi sio baba yako njoo na kifanyio chako upate dolars
Haya leo tuotane sasa then tuone nani mkali kumuota mwenzie
Kwani umeniona mi nina chavkubandika km chako?
Mi changu kinaning'inia so hata wenzangu wana km changu niwaachie wanini?
First In First.....
Hebu nipe result eneo letu umeme upo umeyeya!
Kinini chako kinaning'inia?!
Wameshinda 2-0 ila haijawasaidia
Get well soon Mr. Wenger !
Mh kama ina ukweli hivi
umeona enh!!!