Miss Bantu
Senior Member
- Apr 30, 2012
- 153
- 149
ndo khabareee ya mujini...
Mtakufa siku si zenu!
Yani mi ndo namekumiss adi nakuota
Mh sasa unaotaje wakati hujalala mpenzi?
Kweli
Haya karibu tupenzike
Mtakufa siku si zenu!
mmmmm? hili tus sasa
mie sio mama yako!!! money first...
bado upo dunia hii!!!! mpenzio mzima...
Hahahaha,jaana jamani ndo ulikua kwenye njozi zangu
Na mimi sio baba yako njoo na kifanyio chako upate dolars
mpenzi wangu hela tu!