Kamanda Kazi
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 2,613
- 798
Hapo wanafanya nini?
Wanafanya nini! Umeshindwa kusoma habari picha wewe? Huoni hapo kuna warembo na babu anachagua kama yuko mnadai vile!
Ila nina wasiwasi kama murder haikutokea. Hicho kibabu na mikiki ya totos inayochemka damu! Mhh sijui!