monile...ni hivi tangu last wiki nimekua nikiyaangalia kwa umakini maji na chupa za kilimanjaro kwa kweli zina kila dalili ya kuwa sio yale tuliyoyazoea.
ukiyaangalia kwa umakini maji yake wala hayana ung'ao ule uliokuwepo zaman..maji km yana rangi ya povu hivi kwa mbaalii
pia chupa zake kwa chini uku kwenye kitako ni km zmetunatuna na kuna kitundu ivi sjui maji yalikuwa yanaingizwa kwa kutumia bomba la sindano...
hata ladha pia siyo kabisa
huenda mtaaani kwenu stock hiyo haijaja lakin uku uswahilini kwetu naona wametuletea....
nia yangu sio kuwaharibia soko hapana its just kuwashtua bnadamu wenzangu muwe makini na vyakula,vinywaji tuvitumiavyo also kuwataka COCACOLA KWANZA ,SJUI BONITE BOTTLES watupie macho yao kwenye masoko cz kuna wadau wanaowaharibia soko
wenu ktk ujenz wa afya...byeeee
Kyeleuwiiiiiiii!!! Lakini sidhani wanaweza patia taste yake
Sidhani kama wa Tanzania tumefika huko mpaka mtu akaweke maji mabaya kwenye chipa za kilimanjaro... Kilimanjaro ni maji yanayotumika East Africa mpaka sudani kusini..haya ni maji ya maboss wengi viongozi na watu wazito... Nakumbuka siku moja Jk akiwa kwenye mkutano hapa arusha aliletewa maji aina nyingine akayarudisha.. Ikabidi aletewe kilimanjaro.

nashukuru kwa taarifa. ila naomba kwenye hayo maji feki nipe vipimo vifuatavyo ili niweze amini
1. chloride
2. Floride
3. Nitrate
4. Potassium
5.Sodium
6.pH