Mjihadhari na huyu tapeli wa JF

Matapeli wapo wengi. Juzi kuna mmoja mwenye namba 0758485467 amenipigia simu akadai ni HR person kwenye kampuni moja na akaniambia tunafanya shortlisting ya watu waliyoomba kazi akataka nimtumia laki mbili ili amshawishi bosi wake anipe kazi. Nikamuuliza maswali mengi nikaona anashtuka nilipomwambia wewe ni Tapeli akanivurumishia mitusi akakata simu kujaribu kumpigia simu haipatikani mpaka leo. Mjihadhati na matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…