Pole sana mkuu.Tunashukuru sana mkuu kwa taarifa hii,,hawa watu wapo wengi sana,,mdogo wangu 1 hv katapeliwa kwenye j.k.t ya juzi kati hapa laki 3 imekwenda hv hv,
Nilivyosoma text conservation yenu nimegunduwa wewe ndio ulitaka kumtapeli mwenzako yani upewe vifaranga 100 kwa shilling 17,000/= tu.Sikatai ujinga wangu mkuu...
Lakini natoa tahadhari kwa wajinga wenzangu humu jf
msitumie JF kuchafuwa watu, ni wapi huyo mtu ametapeli? unashindwa kuona ni yeye ndio alikuwa anatapeliwa vifaranga 100 kwa shilling 17,000/=?Nipe Mimi 30k tu nikukamatie huyo mshamba aliyekutapeli kwa mbinu za 1982
Kuna watu walilipia mafunzo na hawakupatiwa hayo mafunzo waliyolipia? wanaweza kutowa ushuhuda hapa wa kutapeliwa pesa zao za training?Bado wale walio tapeliwa pesa kwa mafunzo ya Forex..
Mtaje ID tumjue acha mipasho