Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,544
- 4,472
Kuna nini!??No problem.
We still have many candidates - Musiba , Makonda etc!
Aisee miaka inakimbia kama gari yaani, nipo kijijini kwetu Magu nakula viazi vitamu mwezi wa pili leo.
Yaani natumia Ka Tecno kangu baada ya kuibiwa kila kitu na machokora wa Nairobi.
Viazi vitamu na karanga za kukaanga na chai ya maziwa ni vitamu asikuambie mtu, Burger za nyama ya kondoo hazina dili kabisa.
Wananzengo mjiandae kisaikoloji over the up coming heavy news which will be trending in the social networks .
Kwa hakika ni upuuzi uliotuka..Ni Mpuuzi tu pekee ndiyo ataamini Uwongo na Uzushi uliowasilishwa hapa. Tanzania chini ya Rais Magufuli na CCM itaendelea kuwa Salama sana.
Cc: My Son drink water
Kohh kohhhNaomba nisiongezee neno mie....View attachment 1523860
Unasubiri nini Mkuu!!!??Tunasubiri kwa hamu.
Baba lao, Rider etcIzi pombe za elfu mbili hupakiwa kwenye chupa za plastiki ,vitoko sijui Ni hatari sana!!!
Kuna mbuyu unaweza kuanguka.Unasubiri nini Mkuu!!!??
Labda Simba kukosa kombe la FA kwa kufungwa na Namungo FC kwenye fainali, nayo hiyo ni habari kubwa sanaKuna mbuyu unaweza kuanguka.
Toka uende kujitibu corona hujarudi tu mjini?Aisee miaka inakimbia kama gari yaani, nipo kijijini kwetu Magu nakula viazi vitamu mwezi wa pili leo.