Wakati was sikukuu za mwisho was mwaka nilipata fursa ya kupita mji was moshi, kinyume na sifa nyingi za huko nyuma kuwa 'Moshi ni mji was mfano kwa usafi', hali ski hivyo tena.Hakika inasikitisha sana kila maeneo niliyopita kama stend kuu ya mabasi ya mikoani na barabara mbalimbali hali nitofauti na yanayosikika.
Pengine hali hiyo inachangiwa na viongozi wakiwemo mkurugenzi na madiwani au wilaya DC,au mkoa rc kutokuchukia uchafu na kukosa ubunifa was mambo bali wamekaa kusubiri mshahara mwisho was mwezi.Nilisikitika sana stendi kujaa mifuko ya plastiki ya viroba na rambo.
Viongozi amkeni hata mambo ya usafi mnasubiri kusukumwa?

Last edited by a moderator: