Mji wa Iringa katika mwonekano mzuri

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,218
Nitarudi tena huku nimepapenda
 

Attachments

  • 1413051650445.jpg
    24.5 KB · Views: 3,432
  • 1413051672027.jpg
    10.9 KB · Views: 2,819
  • 1413051689053.jpg
    44 KB · Views: 4,987
  • 1413051703920.jpg
    27.6 KB · Views: 2,872
  • 1413051722742.jpg
    9.3 KB · Views: 2,573


Hii ni mlima Kitonga kabla hujafika Ilula. Hapa mwendo pole iwe kupanda au kuteremkia Ruaha. Kati ya barabara nyingi nilizopita Tanzania hii Kitonga ni mlima mrefu zaidi hata ile ya Singida kwa wilaya na jimbo la uchaguzi la Mchemba aka Sekenke haifui dafu.
 
picha pekee ambayo sio iringa hapo ni hiyo barabara kwenye mlima porini. sijajua ni eneo gani hilo. sijaenda iringa kwa miaka 7 sasa, napamiss

Apo ni mlima kitonga wala sio picha ya uongo ndio hali halisi iyo
 
Ni barabara ipo Bolivia, Amerika ya kusini. Ukiwa unatoka La Paz (mji mkuu) kuelekea mikoani ndo unapita barabara hiyo

Mazingira na milima inafanana, kama umepita Kitonga hutaona tofauti na hii, ila siku hizi wameipanua kidogo kuna unafuu tofauti na zamani kidogo.
 

Hii kitonga hii ni mpya na ni ya kwako! Washauri waache kula mbwa
 


Hii picha umechomekea siyo Iringa hii ni Yunga s Road au Alamaaruf "death road" Bolivia.

Source: Bolivian Road of Death

Hivi Tony Gwanco uongo unakusaidia nini?







Kati ya mambo ambayo Hayati Nyerere alifanya ukombozi katika ukanda wa Kusini Nyanda za juu ni ujenzi wa barabara kuu iendayo Zambia kupitia mikoa ya Morogoro, Iringa na Mbeya. Pia shamba la miti huko Mafinga lililoenda sambamba na kiwanda cha Sao Hill na ujenzi wa kiwanda cha Karatasi ambacho ni kikubwa katika Afrika mashariki na kati ambao ulikuwa wa kisasa ukiwa na taswira ya mji mpya.
 

Duh hata kama kusanganya huku ni too much mkuu
 
Hii kitonga hii ni mpya na ni ya kwako! Washauri waache kula mbwa


Dharau na matusi si hulka yangu, ila tu mazingira na mazingara ya barabara hiyo haipishani sana na ya Kitonga, kama umewahi kupita njia hiyo usingeweza kunipinga hivyo na kumimina matusi na dharau kwa watu wa huko, ila ungeniambia nimefananisha na labda hiyo la huko Latin America ni zaidi. Hapo juu nimekuletea taswira za huko Kitonga. Mimi si wa longolongo na matusi ila mtoa vielelezo vya uelimishaji.
Thanks.

CC; bampami
 
acha udini kijana hujui kupiga picha msikiti ukikamatwa ni baraaa

Katika uandishi sahihi ni balaa sio baraa....

halafu mbona hujajibu swali za FaizaFoxy kwamba "uongo unakusaidia nini'??


 
Last edited by a moderator:
Katika uandishi sahihi ni balaa sio baraa....

halafu mbona hujajibu swali za FaizaFoxy kwamba "uongo unakusaidia nini'??



huyu dada anastress za kushindwa mbinu za moko haram IS
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…