chameleon
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 555
- 170
Hana mpango ni fisadi tu ndani ya kundi la mavisadi viwete
Huyu naye anawagawia hela ya rushwa ama za serikali au ndo mkuki kwa nguruwe?
Hana mpango ni fisadi tu ndani ya kundi la mavisadi viwete
wewe unayo shida nilichojibu kinatosha sana kuonyesha msichokiona.hao watu wa chato bado hawakuti watu wa msigwa au Lema,au sugu au wenje, etc.Mbaya zaidi yupo jimboni kwake ,kwa watu wakabila lake weny emsisimmko kwamba nao wanamgombea wa urais.MwanaDiwani hizi picha zimekuwa "anxiety provoking stimulus" kwa vijana wa UKAWA aka Coalition of Wapigadili...
MwanaDiwani hizi picha zimekuwa "anxiety provoking stimulus" kwa vijana wa UKAWA aka Coalition of Wapigadili...
Umati unatisha.....mtashinda.....mabadiliko hakuna
Nimejifunza kitu kuwa ktk eneo la katoro na geita sijaona sare za ccm kwani ni aibu kuzivaa maeneo ya cdm.
Ndugu,
Angekuwa hana mpango nadhani usingepoteza muda wako adhimu kuweka mchango wako.
Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita akiwa njiani kueleka Chato.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwashukuru wananchi wa Katoro kwa kujitokeza kwa wingi na kuwaahidi kurudi tena wakati wa kampeni na kuzungumza yale yaliyopo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM.
Umati wa wakazi wa Katoro ukimsikiliza mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Pombe Magufuli.
Mbunge wa Jimbo la Busanda, Mhe. Lolesia Bukwimba akiwasalimia wakazi wa Katoro wakati wa kumtambulisha mgombea Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
DK. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Katoro.
Umati wa wakazi wa Katoro ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dk.,John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa mji mdogo wa Katoro .
Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Chato wakati akiwasili kwenye uwanja wa mkutano wa stendi ya zamani.
Bango lenye ujumbe unaodhihirishwa na umati wa wananchi.
Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza, Ndugu Miraji Mtaturu akiwasalimu wakazi wa Chato kwenye mkutano wa kumtambulisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli.
Naibu Katibu Mkuu wa CCm (Bara), Ndugu Rajab Luhwavi akiwasalimu wananchi wa Chato wakati wa mkutano wa kumtambulisha mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa stendi ya zamani ya Chato,mkoani Geita.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita, Joseph Musukuma akiwasalimu wakazi wa Chato kabla ya kumkaribisha mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kuwasalimu,kujitambulisha na kuwashukuru wananchi kwa kipindi cha miaka ya 20 aliyoitumikia kama Mbunge.
Mbunge wa Buchosa, Dk.Charles Tizeba akiwasalimu wananchi wa Chato wakati wa kumtambulisha mgombea wa urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli (katikati) kwa wananchi wa Chato, Kulia ni mbunge wa viti maalumu mkoa wa Geita, Mhe. Vicky Kamata.
Mhe.Vick Kamata, mbunge wa viti maalumu mkoa wa Geita akisalimu wakazi wa Chato wakati wa kumtambulisha mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk.John Pombe Magufuli.
Richard Ndasa, mbunge wa jimbo la Sumve akimpa mkono wa heri mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kumtambulisha kwa wananchi wa Chato.
Mgombea wa Urais kupitia CCM, Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kumtambulisha kama mgombea wa Urais na kuwaaga kwa kuwatumikia kwa miaka 20 ya ubunge.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Chato mara baada ya kumaliza mkutano wa kujitambulisha wananchi wa Chato
Hana mpango ni fisadi tu ndani ya kundi la mavisadi viwete