Mji mzito huu

Shoga maarufu mchafu hivi huwa ni best na mastar kina wema na kajala
Ila agrrey ni mchafuuu... mpk kinyaaa. Nakumbuka enzi za kesi ya wema akiwa chadema tulikua tumemfata kibatala mahakamani. Jaman, aggrey tishirt yake nyeusi chafuu ina mabaki ya vyakulaa, miguuni mavumbioi.. tishet limepaukaaaa. Tulijuta kwenda maana camera kibao kuhofia tisirekodiwe maana siyo kesi ilitupeleka pale. Mashoga kibao wema alikia akiwafugaa. Pooh mbaka

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ila evelyn utakufa kinywa wazi
pooh mbaka

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Si uliionaga ile picha? Kwenye msiba wa jasiri yani kijana kakumbatiwa na bilionea maji basi nae kajilaza mabegani.....πŸ˜‚πŸ˜‚ Yani enzi hizi mwanamke anakuibia mume mwanaume anakuibia mume kazi ipoooo
 
Si uliionaga ile picha? Kwenye msiba wa jasiri yani kijana kakumbatiwa na bilionea maji basi nae kajilaza mabegani.....
Yani enzi hizi mwanamke anakuibia mume mwanaume anakuibia mume kazi ipoooo
wewe ni msee
eti mpk vinyweleo vikasimama. Hpana, umbea wako umevuka levels babe


Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mnyama mkali mkali
 
Pole rafiki.
 
umeamua umalize kbsa jambo fumbo,
 
sjui km hakumpitia jaman, uncle Ben hoyeeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…