Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya Hotel,Vitunguu,camp sites ( zipo mbili kwa sasa). Zipo biashara ambazo hazijavumbuliwa kwa sababu ya kukosekana umeme.Mji una ongezeko kubwa la watu wa kila kona kwa sababu ya vitunguu. Ila mji huu hauna shule,japokuwa location yake iko vizuri,mawasiliano ya simu na barabara ni mazuri.Hakuna guest house za kisasa japokuwa ni parking ya malori makubwa ya transit.Hakuna w/house za muda mfupi kwa mazao nkKipo kilimo cha umwagiliaji na ufugaji kiasi. Haya kwa wajasiriamali wenzangu, fursa hizo.Tusiwaachie wageni kila fursa.
Viwanja vipo? Na bei yake inarange kwenye ngapi?
Je ninaweza kupata kiwanja mahali hapo?
kwa hiyo mji mpya ndio unaanza au ulishatangazwa au ndo kama juba darfur ndio maisha yanaanza..
Mkuu Malila nimepita hapo jana kuja huku ndo taaaneeeskooo walikua wanamalizia kuweka nguzo, kwa heshima na mimi nikanunua vitunguu hapo
Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya Hotel,Vitunguu,camp sites ( zipo mbili kwa sasa). Zipo biashara ambazo hazijavumbuliwa kwa sababu ya kukosekana umeme.Mji una ongezeko kubwa la watu wa kila kona kwa sababu ya vitunguu. Ila mji huu hauna shule,japokuwa location yake iko vizuri,mawasiliano ya simu na barabara ni mazuri.Hakuna guest house za kisasa japokuwa ni parking ya malori makubwa ya transit.Hakuna w/house za muda mfupi kwa mazao nkKipo kilimo cha umwagiliaji na ufugaji kiasi. Haya kwa wajasiriamali wenzangu, fursa hizo.Tusiwaachie wageni kila fursa.
Nikipita january nitapiga picha nikutumie ni kamji kapya kenye fursa nyingi. Kumbuka kapo ktk highway ya kwenda zambia,Malawi,Congo na kwingineko.
Pale viwanja ni vya kujikatia size unayotaka, fika serikali ya mtaa unaotaka, omba ukatiwe bonge la pande. Sio utani, kwa sababu hawa wenye camp site zilizoko kando ya mto hawajanunua kwa mtu, mji una mito miwili ya nguvu. Kama unataka upande wa Morogoro haya au upande wa Iringa haya, cha msingi angalia mita za Magufuli basi.
Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya Hotel,Vitunguu,camp sites ( zipo mbili kwa sasa). Zipo biashara ambazo hazijavumbuliwa kwa sababu ya kukosekana umeme.Mji una ongezeko kubwa la watu wa kila kona kwa sababu ya vitunguu. Ila mji huu hauna shule,japokuwa location yake iko vizuri,mawasiliano ya simu na barabara ni mazuri.Hakuna guest house za kisasa japokuwa ni parking ya malori makubwa ya transit.Hakuna w/house za muda mfupi kwa mazao nkKipo kilimo cha umwagiliaji na ufugaji kiasi. Haya kwa wajasiriamali wenzangu, fursa hizo.Tusiwaachie wageni kila fursa.
Kaka MAFURIKO vipi?
Ahsante sana kwa hizi habari njema kabisa, watu wengi JF kazi yao kulalamika, kususa na kushadidia maandamano. Haya andamaneni kwenye fursa hizo.
Wewe kweli uwezo wa kufikiri mdogo, hivi unafikiri watanzania wote wanaweza ku-tap hizi fursa zilizopo? usiweke siasa kwenye kila kitu. Malila kaleta wazo, lakini bado kutakuwa na restrictions kibao kwa mtu kwenda ku acquire ardhi tajwa, wachilia mbali turning it into productive use. Si kila kitu siasa we mama, ningekuwa PAW au Invisible ningekupiga ban jukwaa la biashara. Unachafua hali ya hewa tu!
Najua hapo watu wameghafilika na kumtaja Allah mwenye kuleta hizo neema.Ngoja nije niwajengee msikiti mzuri wa kufanyia ibada.Pindi akitokea yoyote akaweka vikwazo subirini ukame na mito yote kukauka.Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya Hotel,Vitunguu,camp sites ( zipo mbili kwa sasa). Zipo biashara ambazo hazijavumbuliwa kwa sababu ya kukosekana umeme.Mji una ongezeko kubwa la watu wa kila kona kwa sababu ya vitunguu. Ila mji huu hauna shule,japokuwa location yake iko vizuri,mawasiliano ya simu na barabara ni mazuri.Hakuna guest house za kisasa japokuwa ni parking ya malori makubwa ya transit.Hakuna w/house za muda mfupi kwa mazao nkKipo kilimo cha umwagiliaji na ufugaji kiasi. Haya kwa wajasiriamali wenzangu, fursa hizo.Tusiwaachie wageni kila fursa.