Mjeshi anaposhiriki promotion ya Sengeti Beer na Gwanda zake

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
make comment ya muelekeo wa nchi hii, maana nachokumbuka enzi zile isingewezekana kwenda Bar na Uniform za Jeshi-unadhan katika mazingira haya kwani wasisahau kurekebisha joto la maghala ya mabomu
 

Attachments

  • Photo-0076.jpg
    Photo-0076.jpg
    40.8 KB · Views: 99
bongo bwana mambo mengi sana mwanajeshi kajichanganya na baa na gwanda,:hatari::hatari::hatari: wakati wowote
 
huyo ni mjeshi mwana, hapo ni Makuyuni Monduli na huyo ni mjeshi wa Monduli Camp, hapo ni katika pita pita zangu za huko
 
Back
Top Bottom