Ndege ya Uchumi:
Kwani nani amekwambia kuwa kumiliki gazeti ina maana kila habari iliyoandikwa kwenye gazeti husika imeandikwa na mmiliki wa gazeti? Uhuru linamilikiwa na CCM, ina maana kila habari katika uhuru imeandikwa na Mwenyekiti wa Chama hicho? Na Freeman Mbowe anamiliki gazeti la Tanzania Daima. Ina maana Freeman Mbowe ndiye anayeandika habari kwenye gazeti hilo? Gazeti lilikuwa na mhariri na habari hiyo haikuandikwa na mimi. Kama mtu ni mjinga, lakini hajui kama ni mjinga, unafanyaje?
Mkuu kwa Tanzania wamiliki wa Magazeti wana Influence kubwa katika habari zinazoandikwa na Magazeti, na Wahariri wowote Makini wanapogundua kama gazeti lake limeandika habari ya Uongo kwa bahati Mbaya huwa linatoka na Kuomba Radhi kwa Uzito ule ule lilivyoripoti habari ya Uongo, tumeshuhudia magazeti makini yakifanya hivyo. Sasa wewe ukiwa mmiliki wa Gazet baada ya kugundua kwamba hazeti lako lilimchafua Dr. Slaa Uliomba Radhi? Kama Hukuomba maana yake Aidha wewe ndiye uliyetunga ile habari au Ulifurahia huo uongo
Kimsingi hii habari nimeiweka hapa ili ku question credibility yako
Ndege Uchumi,
Ni nani aliyesema kuwa habari husika ilikuwa ni ya uongo?
Habari ya gazeti la kwanza jamii yaweza kwa njia moja ama nyingine kupotosha kwa kuonesha kuwa Dkt. Slaa aliruhusu Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kutoa posho kwa wajumbe wa kamati yake na hivyo kupata posho mara mbili.
Napenda kueleza kuwa mwaka 2007, Kamati ya LAAC ilikuwa chini ya uenyekiti wa Mheshimiwa Mgana Msindai. Kamati hizi za 'oversight' - ile ya LAAC na ile ya POAC zimeanza kuongozwa na wabunge wa upinzani kuanzia mwezi machi mwaka 2008. Kama kamati hii ililamba posho kutoka Halmashauri masikini kama ya Sumbawanga, jamii ijue kuwa haikuwa kamati ya Dkt. Slaa, ilikuwa kamati ya Msindai na dkt. Slaa hakuwa sio tu mwenyekiti, wala hakuwa mjumbe.
Hivyo, habari hii ya kwanza Jamii inaposomwa izingatie ufafanuzi huu.
Mkuu Maggid
Kanusha hili
Sasa chanzo cha habari hiyo ni kipi? Ni KWANZA JAMII au ripoti ya CAG? Kama ni Ripoti ya CAG, aliyepotosha ni mwandishi wa habari hiyo au CAG? Vinginevyo kama CAG hawakueleza kitu kama hicho katika ripoti yao. Tuwakane sawa hapa, maana kilichoripotiwa na KWANZA JAMII hakikupata kulalamikiwa na CAG iliyotoa ripoti hiyo, kwamba wamenukuliwa kwa makosa. To the best of my knowledge.
Zitto anasema hiviMaelezo yaliyotolewa kwa CAG kuhusu malipo hayo yanasema; "Posho kwa ajili ya vikao vya kamati ya Bunge ya hesabu za serikali za mitaa Agosti 7 hadi 16 mwaka 2007 yalikuwa Sh 1,050,000.
Kutokana na kubainika kwa hali hiyo huenda hadhi ya wajumbe wa kamati hiyo inayoongozwa na Dk. Wilbroad Slaa, Mbunge wa Karatu, ikaingia doa mbele ya umma wa Watanzania.
Nani alikuwa Kiongozi wa LAAC na POAC 2007?Napenda kueleza kuwa mwaka 2007, Kamati ya LAAC ilikuwa chini ya uenyekiti wa Mheshimiwa Mgana Msindai. Kamati hizi za 'oversight' - ile ya LAAC na ile ya POAC zimeanza kuongozwa na wabunge wa upinzani kuanzia mwezi machi mwaka 2008. Kama kamati hii ililamba posho kutoka Halmashauri masikini kama ya Sumbawanga, jamii ijue kuwa haikuwa kamati ya Dkt. Slaa, ilikuwa kamati ya Msindai na dkt. Slaa hakuwa sio tu mwenyekiti, wala hakuwa mjumbe.
Mkuu Pasco Pole sana maana naona na wewe umeingia kichwa kichwa katika kumtetea na Kumpongeza Mjengwa kwa hiyo makala yake. Waandishi kama Mjengwa wanafaa kukemewa na si kupongezwa hata kidogo
Mkuu Mkandara, kama tafsiri yako ya mwandishi wa habari inajumuisha social media, then nakubaliana na wewe kwa hilo, sasa every Tom, Dick and Harry ni wanahabari, then every body is na Mjengwa ndani.Mkuu ama hujamsoma Maggid kwani kisha kuwa na gazeti, blog na huandika makala nyingi tu pengine wewe ndio hujamsoma. Kisha unapokuwa na blog yako tayari inakuweka ktk nafasi ya wanahabari kwani kama kuna mashtaka yeyote yale dhidi ya chombo au bandiko ktk blog yako unakuwa responsible.. Hii ni sawa na kazi ya mtu hivyo wasivamie vitu tu ili mradi wana own blog kwani nayo pia ina majukumu yake..Mtandao ndio gazeti la karne hii mkuu wangu...
Jasusi, nakubaliana na wewe, awareness level ya Watanzania inapanda siku hadi siku, ila Tarime ni issue nyingine, watu wa kule wana msimamo usioyumbishwa kwa fulana, kofia na shibe ya siku moja. Nilishuhudia gharama za umasikini uliotopea kwenye uchaguzi mdogo wa Busanda na Biharamulo, nusu kilo tuu ya sukari na Shilingi elfu 1,000 ya kitafunio kwa kila kaya siku ya kuamkia kupiga kura, iliweza kubadili matokeo. Several 40 ft containers za campain materials za CCM zinasubiri port clearance (kama kawaida ili kupata msamaha wa ushuru), this time sio tena fulana tuu na kofia, bali kanga, raba mpaka opener watakazo sambaza baa zote, ukifungua tuu kinywaji, zinapiga kawimbo ka CCM.Pasco,
Una maana ya kuniambia kuwa wote wale walioikataa CCM Tarime ni wasomi wa mitandao? Tuna tendency ya ku-underestimate understanding ya
watu wa vijijini kana kwamba wao hawana macho ya kuona. Nilikuwa Mugumu mwaka juzi na kitu nilichogundua ni kwamba raia wa kawaida wanatambua kuwa viongozi wa CCM ni matajiri, wengi wao wakiwa na biashara za mahoteli, malori, vituo vya petroli, na magendo ya kupeleka madawa ya kulevya Kenya. Hawa ni raia wa kawaida tu wasiotoa maoni yao kwenye mtandao. Tusiwa under estimate, for lack of a better Swahili phrase.
chibhitoke, kama nikweli umemfahamu toka Tosa, jee sasa amebadilika mpaka kuchemsha big time?. isije ikawa ni emotions zako kwa Dr. Slaa?.Pasco,
Pamoja na kuwa unamfahamu huyu bwana mdogo, Mimi pia namfahamu toka Tosa lakini naona hapa alichemsha big time!
Redet wametuma watu vijijini, mahali kusiko na umeme wala mtandao, huko redio inayowafikia ni RTD tuu, yaani TBC Taifa. Subiri matokeo yao watayatangaza hivi karibuni. Ila kama hawatayatangaza, basi nitajiandaa kusheherekea ushindi maana nao watayaminya kama yale ya Synovate na hili litakuwa ndile anguko kuu la CCM!, na Mjengwa atatoa makala kurekebisha kwanini alikosea.Nimekupota Mjomba kwahiyo unataka kuniambia hao redet nao kura zao za maonI wanazifanyia wapi? au nao wanatumia hii system ya online polls? na kama sio hivyo na kama hawatadanganya matokea mambo yatakuwa ni yaleyale I MEAN DR SRAHA
.kwa hiyo wewe, mjengwa na redet ndio msimamo wenu/opinion yenu? kama ni hivyo kwanini ccm watumie nguvu namna hiyo, mpaka wawatumie watu wenye shida binfsi ku-drive the point, nimeona husna akitumika, kitanda cha teremka tukaze, mwalimu wa zamani, tendwa kuachimpeni kuendelea baada ya saa 12 jioni, mabasi kukodishwa kupeleka watu wahudhurie fiesta, vyombo vya serikali kutumika kwenye propaganda au kuwa biased? vyombo vya serikali iwe jeshi nk ? je hivi vitu vyote vinaelekeza picha hii? je walio mfukuza uday iringa ni mtandao/internet, zomea zomea bukombe napo ni internet? kumtumia mshauri wa uganga mnajimu sheikh yahya? nk nafikiri hapa uhitaji nuklia formula ili uapate jibu?
halafu na wewe mwanzo umeaqinisha vizuri mwandishi na mtoa makala, lakini hitimisho lako ni la mtoa makala?
Kwanza Jamii la Maggid Linasema hivi
Zitto anasema hivi
Nani alikuwa Kiongozi wa LAAC na POAC 2007?
August, hapa ni online, hii ni social media, hivyo opinion ni ruksa.tatizo lako wewe vs mjengwa mtoa makala ni lileli , yaani hitimisho hata hapa nilipo ku-quote nikiangalia hitimisho unamuelewa huyu mtu yupo poje objective au sio objective? sasa kama ungependa kujitofautisha na sisi tusio wajuvi wa uwandishi wa habari rekebisha hitimisho zako toa habari tu? mfano slaa alikuwa njombe jana/leo kasema dash dash na watu walizome/walishangilia basi sio kuweka hitimisho.
maanake wewe umekuwa prosecutor jaji na mtuhumiwa vyote at ze same time
Pasco,
Pamoja na kuwa unamfahamu huyu bwana mdogo, Mimi pia namfahamu toka Tosa lakini naona hapa alichemsha big time!
Mlalahoi, mimi ni mimi na Mjengwa ni Mjengwa, the only thing wen have in common wote ni wapiganaji ila kila mtu kwenye anga zake. Mimi ni mpigania haki na demokrasia ya kweli nikisupport mageuzi kwa asilimia 100%, yeye siwezi kumsemea.Kumbe wewe na Mjengwa lenu moja!Haya,umejuaje matokeo ya utafiti wa REDET kabla wenyewe hawajayaweka hadharani?Na umejuaje kuwa matokeo haya yatatushangaza?Jibu jepesi ni kwamba wewe na Mjengwa mmegeuka kuwa wasaidizi wa Sheikh Yahya,yani mmejipachika unajimu.