Mjengo wa nyumba ya shamba

Nyumba ya ndoto yangu japo inaweza isiwe na ubora huo lakn nyumba ya mbao tupu ndi ndoto yangu kuimiliki kijijin hasa katikati ya migomba na kokoa..
 
Hapo labda ufuge bonge la jibwa, tena jibwa hasa. Vinginevyo wale wenye wimbo wa mtaji wa maskini watabadili mandhari
 
Kijijini kwetu wanaanza kuiba hizo mbao kwanza!
Heri kwenu wanaiba mbao unaweza washtukia na kuokoa zilizodondoka. Kule kwa wahehe wanajidai wataalamu wa kulima miti ya mbao, watakuvizia umelala wanaitia kiberiti tu. Jamii ya kishenzi kabisa. Matokeo yake, mpaka leo wanaishi kwenye nyumba za tope badala ya kuishi kwenye nyumba kama hizo.
 
TOMNOTKAT,
Iringa ni mojawapo ya mikoa inayoongoza kwa makazi bora kwa maana ya nyumba ya bati na tofari hata vijijini. Pia kwa muda mrefu imekua ikiwa na kiwango kidogo zaidi cha umasikini nchini kwa mujibu wa NBS.
 
Nyumba ya mbao mlango wa chuma, africa hii na vibaka ulale pekeo porini
 
jamii ya wahehe haijawahi kuwa na roho mbaya mzee acha urongo hata umchokoze huishia kujinyonga yeye ,ni maeneo gan kuna nyumba za tope na miti inalimwa huko thibitisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…