Mjengo wa ajabu wa Sugu Mbeya!

Mjengo wa ajabu wa Sugu Mbeya!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,391
Reaction score
88,662
Mjengo wa sugu.JPG
big up kamanda
 
Ninacho kiona ni kwamba watu bado hawajagundua magepu ambayo wenzao wanakimbia wao bado wanatembea na kupongezana
 
1993 ,Nipo zangu border naitafuta south africa! Mjengo mkali,demu mkali na mungu kamjalia ana kabinti kazurii
 
Nyumba nzuri na imekaa kisomi. Mtu akiiona jinsi ilivyo descent hawezi kuamini kama ya Sugu.
 
Hahaaaaaa teh teh teh Hahaaaaaa teh teh teh Hahaaaaaa teh teh teh Bongo bana mhhhhhh siasa ulaji tuuuuuu. mtaacha kutoana roho kwa mtaji huu. ile kubebwa juu juu bungeni unafikiri mchezo? kangekuwa kamshahara ka laki tatu usingeona yote hayo. wao wanalipwa over Tsh 15 mil kwa mwezi halafu wanakuambia kwenye mikutano yenu huko tunataka kima cha chini laki tatu na nusu,wapi kwa wapi Tz politic business ndio faida zake hizo. wewe ishia viroba na makofi pppppp ppppppp
 
Back
Top Bottom