Dodgers Gamers
Member
- Aug 20, 2025
- 80
- 96
Nakumbuka nilianza kuisoma mwishoni mwa mwaka 2023 mpaka naimaliza mwaka jana. Lakini mwaka huu mwezi wa kwanza nikairudia tena na nikamaliza mwezi wa tatu.
Sasa leo nimeamua kuanzia kesho muda wangu huru nitautumia kuirudia kwa mara nyinine tena. Karibuni tukairudie wote NILIMDHANIA KAHABA KUMBE BIKRA kutoka kwa mwamba haswa SINGANOJR. Simulizi bora kuliko zote nilizozisoma ikifuatiwa na IDAIWE MAITI YANGU kutoka kwa mkali FEBIAN BABUYA.