Salaam,
Kuna jamaa anaitwa Godi, ana bar yake pale Mbezi Louis (Mwisho) maarufu sana hasa nyakati za usiku mkuu.
Inasemekana huyu jamaa amempiga jamaa mwingine kisu mara mbili maeneo ya shingo. Tukio hilo limetokea katika kipindi hiki cha sikukuu, na chanzo cha mashambulizi hayo bado hakijajulikana ila inasemekana huenda ikawa ni mzozo uliosababishwa na kutoelewana baada ya vinywaji.
Jamaa aliyepigwa kisu hakufa lakini hali yake si nzuri.
Inasemekana Godi anatafutwa na vyombo vya dola na hajulikani alipo hadi sasa.
Wasalaam.