Mjasiliamali wa Mende, azidiwa na wateja

Kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusu kuku wa kisasa.kuna mikuloiler nimeifuga kienyeji chini ya uangalizi bora.Hao kuku ni watamu, wakubwa na mayai yao yakawaida kabisa.Sasa waache waendelee kufuga vikuku vya kienyeji huku sisi tukiendelea kuboresha afya za familia zetu kwa kuzilisha mayai huku wao wakiona mayai ni anasa.
Hapa chini ni picha ya Saso wakiokota wadudu na nyasi baada ya kupewa chakula kilichochanganywa vyema.

Nimekula kloiler sijui saso!!! Hawana tofauti sana na broiler!!! Kuku wa kienyeji mtamu sana kulinganisha na hao kuku!! Sema demand ya kuku iko juu na pia watu wengi hawana uwezo wa kumudu bei ya kuku wa kienyeji that’s why wewe muuza saso/kloiler na broilers na mayai yao unapata wateja.
 
...enzi hizo kuku na mayai wakisasa aka wakizungu wanauzwa bei kubwa kuliko wa kienyeji[watu wakiaminishwa vya kizungu vitamu vina Afya kabla ya kustuka....enzi hizo bado samaki wa kusoma hawajafika mjini na kwenye pubs...tunachoma tu huko ziwani , mitoni nk...enzi za matikiti na matango kijijini unapewa bure....mchicha unajiotea unachuma kwa jirani tu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda si mrefu tutaanza kula chips mayai na mishikaki ya mende...ugali bakuli la mende...teh teh
 
Umepata wapi soko? Mende wamejaa kwenye makaro ya maji machafu.
 
Back
Top Bottom