Naumizwa Sana na kinachoendelea nchini South Africa, kiukweli ndugu zangu wameshindwa gundua adui wa kweli yaani (true enemy) hii inafanana kabisa na harakati zilizowah fanywa kipindi cha ludism huko ughaibuni now kinahapen south.
Naomba kuwasilisha.