Bwana mmoja alisafiri kwenda
kijijini, alipofika akakuta mtandao
wa simu unapatikana bila
matatizo. Akamwandikia mke
wake sms. Kwa bahati mbaya
akakosea namba na ikamwendea
mtu mwingine ambaye alikuwa ni
mwanamke mjane. Yule mjane
baada ya kuisoma akaanguka na
kuzimia! Mwanae kuona vile
akachukua simu na kusoma
kilichomfanya mama yake azimie.
Iliandikwa hivi:
MKE WANGU MPENZI, NAJUA
UTASHANGAA KUONA SMS HII.
HUKU NAKO KUNA MTANDAO
KAMA HUKO. MIMI NIMEFIKA
SALAMA NA MATAYARISHO YA
WEWE KUJA HUKU KESHO
NIMEYAKAMILISHA NA HIVI
NAKUSUBIRI SANA KWA HAMU
HONEY!
kijijini, alipofika akakuta mtandao
wa simu unapatikana bila
matatizo. Akamwandikia mke
wake sms. Kwa bahati mbaya
akakosea namba na ikamwendea
mtu mwingine ambaye alikuwa ni
mwanamke mjane. Yule mjane
baada ya kuisoma akaanguka na
kuzimia! Mwanae kuona vile
akachukua simu na kusoma
kilichomfanya mama yake azimie.
Iliandikwa hivi:
MKE WANGU MPENZI, NAJUA
UTASHANGAA KUONA SMS HII.
HUKU NAKO KUNA MTANDAO
KAMA HUKO. MIMI NIMEFIKA
SALAMA NA MATAYARISHO YA
WEWE KUJA HUKU KESHO
NIMEYAKAMILISHA NA HIVI
NAKUSUBIRI SANA KWA HAMU
HONEY!