Mjamzito na Funga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mjamzito na Funga

Discussion in 'JF Doctor' started by Che Kalizozele, Aug 25, 2009.

 1. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna mdada mmoja yuko katika third trimester na anafunga,leo yuko chungu cha tatu.Niliposikia nilishtuka sana,ikabidi nianze kuwauliza masheikh kama uislam unaruhusu mama mjamzito kufunga.Wote niliowauliza wakasema anaruhusiwa ili mradi atajihisi yuko fiti kufanya hivyo na anaweza kumudu.Ila mmoja akasema pia daktari ana nafasi ya kutoa ushauri na kumzuia kufunga kama atahisi afya ya mama au mtoto itaathirika hata kama yeye mfungaji anajiona yuko fiti.
  Sasa naomba mnielimishe wataalam wa afya,hakuna athari yoyote kwa mtoto au mama kama mama mjamzito akifunga.
   
Loading...