Mjamzito kupata kwikwi isiyokwisha

mzee msoko

Senior Member
Jan 30, 2020
112
204
Habari za leo wana JF,

Mimi nina mke ambae kwa sasa ana ujauzito wenye miezi 5 lakini ni kama mwezi mmoja sasa anapata KWIKWI mfululizo isiyokwisha.

Je, yaweza kuwa tatizo nini?
 
Vitu unavyoweza kufanya kuzuia kwikwi

1. Kunywa fundo la maji ya baridi
2. Ng’ata kipande cha limao
3.lamba sukari
4. Zuia pumzi kwa nusu sekunde.
5. Kaa chini na uinue goti usawa wa kiuno na uinamishe kichwa kwa sekunde kadhaa.
 
Habari za leo wana JF,Mimi nina mke ambae kwa sasa ana ujauzito wenye miezi 5 lakini ni kama mwezi mmoja anapata KWIKWI mfululizo isiyokwisha. Je,yaweza kuwa tatizo nini?
Habari,

1: ningependa kujua kama ana lalamiko lolote la kiungulia/gastric irritation.

2: asipofanikiwa kwa post namba mbili, afike hospitali kwa uchunguzi zaidi.
 
Habari za leo wana JF,Mimi nina mke ambae kwa sasa ana ujauzito wenye miezi 5 lakini ni kama mwezi mmoja anapata KWIKWI mfululizo isiyokwisha. Je,yaweza kuwa tatizo nini?
pole, huenda ni gastric .Baadhi hutafuna biscuit na kwikwi kuisha
 
Naam anapata kiungulia pia

Afike hospitali ili kupata huduma juu ya kutibu kiungulia na kwikwi. Lakini pia, kuangalia nini anatakiwa kufanya au kutokufanya ili kuzuia kiungulia kulingana na hali yake ya sasa.
 
Back
Top Bottom