Mjamzito haelewi ana nini!

Mjamzito haelewi ana nini!

Kuna uzembe mwingi sana unafanyika izi nchi zetu kwa kina mama wanapofikia mwisho karibu na kujifungua maji ndo uhai wa mtoto awapo tumboni mm huwa naona bora operation nikauguze lkn ni uwakika asilimia kubwa kuna muda maji yakiisha na dokta hayupo zamu ndo kupoteza kiumbe wakati mlienda hospital anacheza tunabaki na ule usemi wetu wa alikuwa siyo risiki
 
Hapo nahisi mkeo anaumri mkubwa wa kuzaa au mara ya mwisho alijifungua ni muda mrefu umepita. Au anakula sana vitu vya baridi huwa vinadababisha kutokupata uchungu kwa muda muafaka au hakuwa akifanya mazoezi haswa ya kutembea ili kuuandaa mwili kwa ajili ya kujifungua
Vyote unavyosema ni vice versa is true...

Yeye mwenyewe hapendi vitu vya baridi...
Huu ni uzazi wa kwanza...
Na mazoezi anafanya sanaaa tu...
 
Pole sana mkuu wangu mpnz..! Jikaze kaka, being a father is a wonderful experience!
Kwakuwa yupo hospital wala usipate shida yupo salama.
Kuhusu gharama za chakula malazi nk. Ndio wajibu huo.. Km unazo tumia kwa mkeo wakati huu akikuletea mtoto duniani.
Pole na misukosuko na hongera, utaitwa baba!
( baby girl na atafanana na mamake)
 
Shilingi 500 ya chai ya rangi ndio hofu yako Wala sio usalama wa mkeo.

Napita tu kujifunza.

Yaani kupitiliza Jana tu Leo waona Kama ni muda mrefu sana....madaktari wanasema huwa Kuna kuchelewa wiki 2 baada ya EDD.
 
Mkeo karogwa .. Mkuu chai kuuzwa 500/= unashangaa, uko mkoa gani wewe?
 
Siku za kujifungua zinakaribia ondoa shaka...inawezekana umri wa ujauzito walikosea kukadiria mwanzoni;we fanya maandalizi ya mtoto mtarajiwa pamoja na bajeti ya mama iwe powa.
 
Obvious...inavyoonekanaa...
Pole sana mkuu wangu mpnz..! Jikaze kaka, being a father is a wonderful experience!
Kwakuwa yupo hospital wala usipate shida yupo salama.
Kuhusu gharama za chakula malazi nk. Ndio wajibu huo.. Km unazo tumia kwa mkeo wakati huu akikuletea mtoto duniani.
Pole na misukosuko na hongera, utaitwa baba!
( baby girl na atafanana na mamake)
 
Shilingi 500 ya chai ya rangi ndio hofu yako Wala sio usalama wa mkeo.

Napita tu kujifunza.

Yaani kupitiliza Jana tu Leo waona Kama ni muda mrefu sana....madaktari wanasema huwa Kuna kuchelewa wiki 2 baada ya EDD.
Hiyo ni nyongeza tu...ili tuone ni jinsi mtu anapotumia matatizo ya mtu kama fursa ya kujizidishia kibiashara...chai ya rangi haina kiwango cha kuuzwa 500 kikombe...

Hii ni roho ya kishetani ya watanzania wenzetu...MTU HAJAENDA HOSPITAL KULA STAREHE...NI MARADHI AMBAYO PIA YANAMLA PESA...LAKINI MTU PIA ANAMZIDISHIA MATATIZO...KWANI ANGEKUWA ANAUZA MTAANI ANGEUZA 500...?

hakuna Chai ya 500 mtaani...
 
Shilingi 500 ya chai ya rangi ndio hofu yako Wala sio usalama wa mkeo.

Napita tu kujifunza.

Yaani kupitiliza Jana tu Leo waona Kama ni muda mrefu sana....madaktari wanasema huwa Kuna kuchelewa wiki 2 baada ya EDD.
NI WAJIBU WANGU KUSIMAMA NA MKE WANGU KATIKA HALI YOYOTE...
 
Ulete mrejesho mkuu... Kuna mdau alitabiri kuhusu ultra sound umefanikiwa kupima mtoto kupitia hii kitu?
 
Hivi zile siku za makadirio si huwa tunaongeza wiki mbili mbele eeh?

Kuna wasiopata pre labour wao uchungu unawaka tu masaa kadhaa mambo tayari
 
Kuna uzembe mwingi sana unafanyika izi nchi zetu kwa kina mama wanapofikia mwisho karibu na kujifungua maji ndo uhai wa mtoto awapo tumboni mm huwa naona bora operation nikauguze lkn ni uwakika asilimia kubwa kuna muda maji yakiisha na dokta hayupo zamu ndo kupoteza kiumbe wakati mlienda hospital anacheza tunabaki na ule usemi wetu wa alikuwa siyo risiki

Pia wanadai mtoto aliyezaliwa kwa operation anakuja kuwa bright sana kuliko walozaliwa natural!
Sometimes kuna ukwel..cheki kichwa kile cha bwana mkubwa😎!
 
NIMEPATA MTOTO WA KIUME


Alijibu[emoji1426][emoji1426] kapata mtoto wa kiume kwa njia ya operation
 
Back
Top Bottom